Aliyemteka Mh. Rose Kamili Kipndi cha Kampeni za Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga.

Mdudu halisi

JF-Expert Member
May 7, 2014
2,737
2,000
Huyu ndugu (Yusuf Kongoroka) alikamatwa wakati wa mkutano wa UKAWA uliofanyika kwenye viwanja vya Fire, mjini Morogoro. Toka tupewe taarifa ya kukamatwa kwake, hakuna aliyerudi tena hapa kutujuvya kama alifikishwa mahakamani au ni hatua gani ilichukuliwa dhidi yake. Nawaomba wakuu kama kuna mtu ana taarifa kuhusu nini kiliendelea toka huyu jamaa akamatwe, aje hapa atuhabarishe.
Nawasilisha.
 
Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,101
1,195
Kwanini afikishwe mahakamani?? Kwani alifanya kosa gani? Waliompiga ndio wamefikishwa mahakamani tarehe 19\05

Mandla.
 
Mdudu halisi

JF-Expert Member
May 7, 2014
2,737
2,000
Kwanini afikishwe mahakamani?? Kwani alifanya kosa gani? Waliompiga ndio wamefikishwa mahakamani tarehe 19\05

Mandla.
Naomba unifahamishe kwa undani kidogo mkuu Mandla, yaani badala ya mtuhumiwa kufikishwa mahakamani wamefikishwa waliomtuhumu?
 
Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,101
1,195
Naomba unifahamishe kwa undani kidogo mkuu Mandla, yaani badala ya mtuhumiwa kufikishwa mahakamani wamefikishwa waliomtuhumu?

Hakuna sheria Tz inayoruhusu kumpiga mtuhumiwa. Wao walijichukulia sheria mkononi, hivyo wanawajibishwa. Kumbuka tii sheria bila shuruti.

Mandla.
 
RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,865
1,500
Hakuna sheria Tz inayoruhusu kumpiga mtuhumiwa. Wao walijichukulia sheria mkononi, hivyo wanawajibishwa. Kumbuka tii sheria bila shuruti.

Mandla.

Mkuu sharia ipi inayobariki Utekaji, ung'oaji kucha na meno? Sheria gani inayoruhusu kuwanyonga wakurugenzi kwa tai? Sheria gani inayomruhusu PM kuamrisha Askari kuwapiga raia wasiokuwa na hatia hadi Kuua? ... inasikitisha sana... RIP Daud Mwangosi...Pole sana Ndugu yangu Dr Ully na Kibanda... Rest assured kuwa mambo haya yata backfire sometimes soon ...
 
SoNotorious

JF-Expert Member
Sep 11, 2011
2,422
1,195
Hakuna sheria Tz inayoruhusu kumpiga mtuhumiwa. Wao walijichukulia sheria mkononi, hivyo wanawajibishwa. Kumbuka tii sheria bila shuruti.

Mandla.

Kama wezi wa EPA walisamehewa kinyume cha sheria na sisi tutaendelea kuadhibu waharifu bila kufuata sheria
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom