Aliyemtabiri Magufuli ni Nabii Bendera wa Kanisa la Ufunuo

bento

Member
Nov 15, 2014
37
3
Nabii wa kweli ni yule anayetabiri jambo kwa uhakika na kwa kulitaja (unaweza kukataa utabiri lakini matokeo yake huwezi kuyakataa).

Aliyemtabiri Magufuli ni Nabii Paul Bendera wa Kanisa la Ufunuo, nashangaa hawa waliotabiri Lowassa kuja Bongo. Pia Gwajima alimtabili Lowassa na wengine wengi. Wengine wakiomba maana hawana uhakika maana Mungu hawaonyeshi.

Nabii Bendera peke yake ndiye alietamka kanisani Bonyokwa Kimara (maarufu kanisa la Bendera) na mbele ya wandishi kuwa kaonyeshwa Magufuli akishinda tena akatamka kwa jina.

Pamoja na kuwa nilikuwa mwanamabadiliko, kwa hili alilitaja na hata aliposema lilinivuja moyo ila matokeo yake kweli Magufuli kapita.

Sasa hawa wapenda ujiko sijui wanakuja kufanya nini na utabiri wao wa uwongo!
 
Haya sasa, kutoka ramli za sangoma mpaka utabiri wa manabii. Tanzania nchi ya maajabu!
Vipi, walitabiri kura za ushindi zitapatikana kwa kupigwa au majumuisho!?
 
Ndugu wacha kuhadaika! Kanuni hii ni rahisi sana: Kama idadi ya watabiri ni kubwa kuliko wanaotabiriwa, then definitely angalau utabiri mmojawapo "utatimia".

Hebu linganisha tabiri za manabii wa nyakati zetu hizi na wa nyakati zile kama hivi: "Tazama, bikira atachukua mimba; naye atazaa mtoto mwanaume, naye atamwita jina lake Immanuel.".

Nabii kama hizi zilitabiriwa miaka mingi kabla ya tukio hata yule aliyetabiri hayupo tena kushuhudia kwa macho yake. Leo hii watabiri wetu nao wapo majukwaani na "wapakwa" mafuta waliowatabiria ili kugongesha glass za mvinyo! Ha ha ha!
 
yule jamaa msanii...mwambie aendelee kugeuza maji kuwa soda....hahahah

Wajinga ndio waliwao
 
pumbaaaavu kwa kubaka demokrasia??
iblisi au miungu watu???
mfyuuuuuuuuuu
 
..nasikia mzee mzima wa efatha naye alimtabiria Dr Magufuli. Ila Dr Magufuli aliposema atawanyang'anya wenye mashamba makubwa yenye migogoro, na mamvi aliposema walutheri tuungane, basi akahamisha utabiri, akaanza ndogo ndogo kwa kukandia kazi za Dr Magufuli na kusema "wanasema wamejenga bara bara" mara akatoa dharau za kusema mabasi ya mwendo kazi ni bure tu, mpaka hata facebook akawa anahamasisha "mafuriko hayaepukiki" mi nilishangaa sana kumsapoti mzee nyeupe. Ila mwisho kaangukia pua, na pia nadhani anaweza kunyang'anywa yale mashamba yake makubwa maana kidogo mtumishi ni mbabe kweli kweli. Ila ni aibu sana kuwa na wachungaji njaa wenye kuangalia maslahi
 
Ndugu wacha kuhadaika! Kanuni hii ni rahisi sana: Kama idadi ya watabiri ni kubwa kuliko wanaotabiriwa, then definitely angalau utabiri mmojawapo "utatimia".

Hebu linganisha tabiri za manabii wa nyakati zetu hizi na wa nyakati zile kama hivi: "Tazama, bikira atachukua mimba; naye atazaa mtoto mwanaume, naye atamwita jina lake Immanuel.".

Nabii kama hizi zilitabiriwa miaka mingi kabla ya tukio hata yule aliyetabiri hayupo tena kushuhudia kwa macho yake. Leo hii watabiri wetu nao wapo majukwaani na "wapakwa" mafuta waliowatabiria ili kugongesha glass za mvinyo! Ha ha ha!

nimekukubali, unatisha! naona virus imekula kitufe cha 'like'
 
Ndio maana ukaitwa utabiri, matokeo yake ni ya aina mbili. ni kupata au kukosa
attachment.php
 
Attachments

  • 12189085_443541589169523_5280663341494860929_n.jpg
    12189085_443541589169523_5280663341494860929_n.jpg
    32.9 KB · Views: 1,243
Nabii wa ukweli mzee wa anga tok
a mchakato ndani ya ccm mpaka uraisi kabaka democracy
 
Uchaguzi haukuwa huru na haki,kwa hiyo unabii wake haukutimia.That is the bottom line.Msiwape watu sifa ambazo hawana.
Nabii wa kweli ni yule anayetabiri jambo kwa uhakika na kwa kulitaja (unaweza kukataa utabiri lakini matokeo yake huwezi kuyakataa).

Aliyemtabiri Magufuli ni Nabii Paul Bendera wa Kanisa la Ufunuo, nashangaa hawa waliotabiri Lowassa kuja Bongo. Pia Gwajima alimtabili Lowassa na wengine wengi. Wengine wakiomba maana hawana uhakika maana Mungu hawaonyeshi.

Nabii Bendera peke yake ndiye alietamka kanisani Bonyokwa Kimara (maarufu kanisa la Bendera) na mbele ya wandishi kuwa kaonyeshwa Magufuli akishinda tena akatamka kwa jina.

Pamoja na kuwa nilikuwa mwanamabadiliko, kwa hili alilitaja na hata aliposema lilinivuja moyo ila matokeo yake kweli Magufuli kapita.

Sasa hawa wapenda ujiko sijui wanakuja kufanya nini na utabiri wao wa uwongo!
 
Kushinda kwa wizi wa kura!!!!!!?????? Tehe tehe teheeeee!!!!! "manabii" wa Kimara, hawa!!!!!!!
 
YAKOBO wa kwenye bible ambye alipewa jina la ISRAELI alivyaa ngozi mikononi mwake ili afanane na nduguye ESAU aliyekuwa na vinyweleo vingi mkononi maana baba ISAKA alimtambua kwa kugusa mikono yake na huu ulikuwa ushauri wa mama yake ili afanane na KAKA yake . japo baba yao alitaka kubaliki ESAU kwa kuwa baba alikuwa kipofu alimbaliki YAKOBO na Mungu akapitisha Mpaka leo tunatukuza Mungu wa Isaraeli au Mungu wa yakobo na tunawaona Waisalareli wabalikiwa vipi hapo HAKI ILITUMIKA AU MUNGU ALIDANGANYWA, YA MUNGU MWACHIE KAMA NAbii BENDELA KATABILI NA IMEKUWA Hivyo tumwachie au litaka J.B josua ndio uamini , NABII HUWA HAKUBALIKI KWAO.CHEKI LINK NDIO UONE WATABILI WA KWELI (https://youtu.be/y7H680-1RZo)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom