Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

Dereva anaendesha lori vizuri ila kuna wengine wanabembea kwenye lori na wengine wanaburuza miguu chini wakati lori ipo kwenye mwendo ili mradi dereva haonekani hafai ili wapate ya kusema tu.

Mimi nimekaa zangu chini naona mwendo wa dereva wa kistaarabu na wa umakini.
 
Ifike wakati tusilaumu washauri, kwani yeye hawezifanya maamuzi mpaka ashauri kila jambo! Kama amekosea amekose yeye na kama amefanya viziri ni yeye. Mbona mambo mazuri hamwasifii washauri badala yake sifa ni kwa rais lakini akikosea lawama kwa washauri wake.
 
Aliyekwambia rais! Wetu anashaurika nani?Eti Amir Jeshi mkuu askari wake 8 wanafariki badala ya kwenda kutoa pole na kuwatia nguvu askari waliosalia anakwenda kufungua Mabweni na Majengo kazi ambayo ingefanywa na Waziri wa ujenzi!Halafu tukiongea, eti IGP atakashughulikia watu wa mitandao!Alieturoga kafa..Mwafaaa
Wewe nani? Una impact gani kwenye Nchi hii mpaka utoe mapovu hapa?? Watu kwenye akili tunajua anachofanya Rais watu!! Wewe nenda kaandamane na kudeki Barbara period!!
 
Aliyekwambia rais! Wetu anashaurika nani?Eti Amir Jeshi mkuu askari wake 8 wanafariki badala ya kwenda kutoa pole na kuwatia nguvu askari waliosalia anakwenda kufungua Mabweni na Majengo kazi ambayo ingefanywa na Waziri wa ujenzi!Halafu tukiongea, eti IGP atakashughulikia watu wa mitandao!Alieturoga kafa..Mwafaaa
Mhusika mkuu aliyetakiwa kuwepo kwenye msiba na kuwafariji wafiwa kaenda kwenye sherehe ya ufunguzi.

Hii ndio Tanzania ya viwanda.
 
Achen unafiki, angeenda msiban mngeponda pia, hamnaga jema nyie,

Maendeleo kwanza, wale wameshalala mauti,
Sherehe za kufungua vibweni ndio maendeleo? Si angeenda mkuu wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
 
Serikali ina utaratibu zake za kufanya kazi usiwafundishe kazi na usifikiri Ikulu pale wote hawajui kuwa kuna askari Polisi 8 wameuwawa huko Pwani na wanaagwa Polisi Barracks hiyo Jana.

Usipende kulaumu tu sio kila mahali Rais lazima aende kama unavyotaka wewe.
Punguza jazba mkuu unapojibu hoja ambayo hukuulizwa wewe. Kama si lazima Rais aende kila mahali, alikuwa na ulazima gani wa kwenda UDSM? Kwa unavyoona wewe na jazba zako kama mtekaji, nini kina uwezekano wa kusubiri kingine kati ya mazishi na uzinduzi wa magofu?
 
Serikali ina utaratibu zake za kufanya kazi usiwafundishe kazi na usifikiri Ikulu pale wote hawajui kuwa kuna askari Polisi 8 wameuwawa huko Pwani na wanaagwa Polisi Barracks hiyo Jana.

Usipende kulaumu tu sio kila mahali Rais lazima aende kama unavyotaka wewe.

Duh!!! Haya majibu ni rasmi au? Mbona kama povu
 
Nshamchoka mtu mnafki kama nini kila anachokiongea kimejaa chuki na tharau kubwa tumepata mtu wa hovyo haijawai kutokea
 
Watanzania tukienda na malalamishi hivi hatutakaa tufike mbali this is too much ndugu zangu eleweni kila kitu kina mpangilio wake kama IGP yupo na waziri husika yupo si walipewa heshima ya kutosha? Hivi wewe ulienda ndugu yangu?
 
Mijitu minafikisana hapa,hivi wale kina mengi,wabunge mpaka Wa ukawa,walioenda clouds tukoa pole mliwaona Jana? He hawakutakiwa kwenda kutoa pole pale??mmekaa kinafkinafki tu hapa kutwa kumsema mh rais, haya kati yakuvamiwa na msiba kipi kinauzito??mbona hata mmoja hatujamuona pale??
 
Hivi jana hakutoa pesa pale watu wakanywe soda maana anaupendo sana
 
kawaida yake huyo, Mimi hata sijashangaa. Kama alighailishaga ziara za kumiapisha raise wa Zambia baada ya tetemeko kagera na hakutia mguu sidhan Kama hili LA polisi pia Kama angelipa uzito huo
 
Back
Top Bottom