Elections 2010 Aliyeliangusha Tingatinga aukwaa Ubunge Mtera..!

MawazoMatatu

JF-Expert Member
Sep 6, 2008
505
61
Kijana Livingstone Lusinde (Kibajaji) aliyemuangusha John Samwel Nigwiyemisi Malecela kwenye kura za maoni za CCM ameshinda Ubunge wa Mtera.

Livingstone Lusinde - CCM - 23,612
Lameck Lubote - CHADEMA - 4,520

Matokeo mengine zaidi:

 
Last edited by a moderator:
Kitendo cha kumuangusha Tingatinga ni ishara tosha kuwa anakubalika ngoja tumsikie bungeni atafanya nini..!
 
Habari hii haina mtazamo wa mabadiliko kimaendeleo maana jamaa bado ataongozwa na ilani ya kifisadi ya ccm. Ni habari mbaya kwa wanamabadiliko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom