Aliyekwisha pata mpenzi humu jf atujuze

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,756
1,904
Mara nyingi nimeona post za wanaotafuta mke/mume humu jf. Sasa kuna yeyote aliyekushafanikiwa kupata mpenzi/mchumba/mke/mume kwenye mitandao ya jamii na ndoa ikadumu?
 
Kwa ndoa watakuwa wachache sana ila nina imani walio Gegedana kibao tu humu. Tatizo usitegemee atatokea member wa humu na kuja kupost ohhh jamani nishamtafuna fulani, hata kama ni demu hawezi kuja kujichoresha humu eti jamani mimi nimeingiliwa na fulani. Hope you get my drift mkuu.
 
Mara nyingi nimeona post za wanaotafuta mke/mume humu jf. Sasa kuna yeyote aliyekushafanikiwa kupata mpenzi/mchumba/mke/mume kwenye mitandao ya jamii na ndoa ikadumu?
Mkuu cj21125 mimi nimepata mke mwema and it works, nina wa-encourage wana JF wengine wasikate tamaa,am happy like never before,nilipost thread humu JF kilichotokea sikuamini,now am deeply,madly in love with her.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu CJ mimi nimepata mke mwema and it works, nina wa-encourage wana JF wengine wasikate tamaa,am happy like never before,nilipost thread humu JF kilichotokea sikuamini,now am deeply,madly in love with her.
Umeona sasa kumbe wapo , ngoja na wengine waje na mashuhuda hapa ili kama unatafuta upate moyo kwamba wanapatikana and it works. To cj21125
 
Last edited by a moderator:
Kwa ndoa watakuwa wachache sana ila nina imani walio Gegedana kibao tu humu. Tatizo usitegemee atatokea member wa humu na kuja kupost ohhh jamani nishamtafuna fulani, hata kama ni demu hawezi kuja kujichoresha humu eti jamani mimi nimeingiliwa na fulani. Hope you get my drift mkuu.

haswaaaaa...., hope thy read between the lines.
 
Mi pm yangu inajaaaa tu lakini duuuu sidhani kamaa labda awe anavutiaa sana na anipunguzie stress tu maana mi kumpenda tu hunichukua muda mrefu sanaa
 
Thatha kama unataka si uokoe muda tu mkuu kwa kusema unataka mchumba ama mke alafu ujionee inakuaje kuliko kupata hearsay...
 
mi nilipata lakini kaniacha kwa sababu za kukiuka kanuni @ mayassa
 
Back
Top Bottom