Mkuu cj21125 mimi nimepata mke mwema and it works, nina wa-encourage wana JF wengine wasikate tamaa,am happy like never before,nilipost thread humu JF kilichotokea sikuamini,now am deeply,madly in love with her.Mara nyingi nimeona post za wanaotafuta mke/mume humu jf. Sasa kuna yeyote aliyekushafanikiwa kupata mpenzi/mchumba/mke/mume kwenye mitandao ya jamii na ndoa ikadumu?
Umeona sasa kumbe wapo , ngoja na wengine waje na mashuhuda hapa ili kama unatafuta upate moyo kwamba wanapatikana and it works. To cj21125Mkuu CJ mimi nimepata mke mwema and it works, nina wa-encourage wana JF wengine wasikate tamaa,am happy like never before,nilipost thread humu JF kilichotokea sikuamini,now am deeply,madly in love with her.
Kwa ndoa watakuwa wachache sana ila nina imani walio Gegedana kibao tu humu. Tatizo usitegemee atatokea member wa humu na kuja kupost ohhh jamani nishamtafuna fulani, hata kama ni demu hawezi kuja kujichoresha humu eti jamani mimi nimeingiliwa na fulani. Hope you get my drift mkuu.
ivi mnajua kupata wa kugegeda hapa raha sana..
acha kufurahia zinaa itakupeleka motoni,tafuta mke uoe!