Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Naomba kujuzwa: Hivi mikataba ya kimataifa wizara husika inaweza kuingia bila kuidhinishwa na Mwanasheria Mkuu wa serikali??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kenye hotuba ya Jpm mbona hilo swali liliwekwa wazi?
Kwamba 'walimtaim' mwanasheria mkuu akiwa likizo ya kuuguza ndiyo wakafanya waliyoyafanya.
Hili 'saga' litakula vichwa kuanzia wizarani, ofisi ya mwanasheria mkuu na fire.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kenye hotuba ya Jpm mbona hilo swali liliwekwa wazi?
Kwamba 'walimtaim' mwanasheria mkuu akiwa likizo ya kuuguza ndiyo wakafanya waliyoyafanya.
Hili 'saga' litakula vichwa kuanzia wizarani, ofisi ya mwanasheria mkuu na fire.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn katibu mkuu (Major Gen.) Yeye kapewa ubalozi tayari.

JW wanaheshimika sana aiseee.

dodge
 
Kangi kapige magoti kwa Mzee baba, mbona wenzako walikwenda na wamesamehewa!! ukizubaa unakwenda kuwa mbuzi wa Pasaka..

Kabla hujaenda kwa Mzee baba kuomba msamaha pita kwanza nyumbani kwa yule Kamanda uliyemtimua kama mbwa - kwa aibu kubwa pale kwenye kile kikao chako cha kwanza - anza kwa kumpigia magoti hapo kwanza ili akikubai kukusamehe yaweza kuwa mwanga kwako wa kusamehewa.

Vinginevyo Mzee kaka uanachama wako upo rehani.... yaani wanakusudia kukukaanga bila mafuta.
 
Mtu aliywmewahi kuwa na mashitaka ya rushwa hakupaswa kuwa waziri in the first place.
Mteuaji hayupo makini au ana sababu zake binafsi za kufanya hivyo.
Nilishangaa sana Kangi kuteuliwa kuwa waziri. Hafai!
Wadau JF walilaani hicho kitu lakini wapi!! na hii nayo huenda ikaishia kusikojulikana kama kontena za dar ambazo mtu alijimwambafai kuwa atajiuzulu iwapo kodi haitalipwa lakini wapi YUPO nae pia YUPO
 
Back
Top Bottom