Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Misri jela kwa miaka mitatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Misri jela kwa miaka mitatu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Comi, Sep 14, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Katika kutekeleza sheria za nchi, nchini misri waliyekuwa waziri mkuu katika utawala wa hossan mubaraka amehukumiwa jela miaka 3 kwa kosa la ufisadi.

  Tanzania sheria ni kwa ajili ya nani?
   
 2. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2016
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,914
  Likes Received: 1,789
  Trophy Points: 280
  Nimestuka nikajua ni ile mahakama ya mafisadi imeshaanza kazi nini?
   
 3. kizaizai

  kizaizai JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2016
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 2,738
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Misri wana visasi sana, bado hawawezi kuwa mfano kwetu.
   
 4. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2016
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,914
  Likes Received: 1,789
  Trophy Points: 280
  Hongereni mafarao
   
Loading...