Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

Nyie mataahira kweli! Hivi waliokuwa wanaropoka kwamba ushahidi wanao mbona huwaulizi! Akina Mnyika, Lissu, Msigwa, Mbowe na wenzake, waulize ule ushahidi waliosema wanao umeyeyukia wapi! After all, wao ndio waliopiga kelele sana ndani ya bunge mpaka mzee mamvi akatimuliwa uwaziri mkuu, leo mmebadilika as if ccm ndio iliyomsema pale Mwembeyanga! Nyie machadema Akili zenu sawa na za ng'ombe .
Matusi ya nini. Serikali ndiyo inatakiwa kumpeleka mahakamani ila wakitaka ushahidi wanatafuta mashaidi. Shahidi hapeleki mkosaji mahakamani. Unalijua hili.
Kumbuka siye kila anayetoa hoja tofauti nawe ni cdm.
Sijui hapa taahira ni nani.
 
Uchaguzi wa Rais/mbunge ni sawa na mchezo wa bahati nasibu. Demokrasia ni nzuri lakini ina risk zake. Unajua kuwa Rais si sawa na kuwa waziri. Ni nafasi tofauti na zenye nguvu tofauti. Ni vigumu yule wa jana kuwa vile vile akiwa Rais.

Toka katika kujitangaza kuwa Mtu wa wanyonge uliyesoma bure mpaka kuwawekea ngumu wanafunzi, au kutowaskiliza wahanga wa Tetemeko ambao mpaka leo wanalala nje. Kutowasikiliza wahanga wa njaa.

Huyu amejieleza kuwa ni mtu wa Mungu nyakati zote za uchaguzi. Ni mtu gani wa Mungu asiyekuwa na huruma na wahanga? Hata hizo sekta za dini zinasaidia sasa huyu ni mtu wa Mungu yupi?

Narudia kumpata rais mzuri ni bahati na ni sawa na kamali au kucheza bahati nasibu. Tunachojua na cha uhakika ni kuwa katika bahati nasibu hii tumepoteza. Kinachompa furaha mcheza bahati nasibu ni mategemeo/hope kwa kesho, kwani mchezo huu tumepoteza na tunasubiri 2020 ili tucheze tena. Hiyo nakuaminisha bado ipo hata kwa wale wasiosema.

Haluta kontinuaaaaaa!
Wala siyo bahati mbaya!! watanzania tuna ugonjwa wa ajabu sana! kusahau na kupuuzia ovyo ovyo!! Tulionywa hata na wanaccm wenyewe!! hivi ishara ya chama kumegeka kumfuata mtu hatukuelewa? Hivi kila siku JK alipokuwa anamhamisha hamisha hatukumuelewa?
Hivi ile kauli alizowahi kutoa kabla ya kuingia magogoni hatukuzielewa??
-"Nikiwa rais watanzania watalimia meno"
"kunyeni mavi mbandike barabarani iwe lami"

Vile vitendo vya ubinafsi na ubaguzi hatukuvielewa?
-Kuchepusha barabara ili ipite kijijini kwake chato!!
-Kujiwekea mataa barabarani kusiko na magari kijijini kwake!!
-Kugawia nyumba wasiohusika na hata vimada wake!!

Hivi kweli hatuwezi kuchagua jambazi kuwa pale magogoni siku za karibuni au zungu la unga siku zijazo??
Tuamke sasa kwa haya mapigo ya kiuenda wazimu!!
 
Sio mahaba mkuu! Nacho pingana nacho ni kumwita mtu fisadi ilihali haijathibitishwa na chombo chochote cha sheria.Tatizo lenu watanzania mnawaamini sana wanasiasa walio waongo na wanafiki.
Inaonekana hata ukiambiwa kila siku jirani anamdokoa mkeo hutakubali mpaka umkute live anakula mzigo. Au napo utasema amshika kwanguvu?
 
WANGEENDELEA KUMSHILILIA KUNGETOKEA VURUGU KWA SABABU WANANCHI WALIKUWA WANAELEKEA KITUONI NA SILAHA ZA JADI .....
POLISI WASIWACHOKOZE WANANCHI HALI YA SASAS KITU KIDOGO TU KINAWEZA KUZAA VURUGU NCHIN
 
WANGEENDELEA KUMSHILILIA KUNGETOKEA VURUGU KWA SABABU WANANCHI WALIKUWA WANAELEKEA KITUONI NA SILAHA ZA JADI .....
POLISI WASIWACHOKOZE WANANCHI HALI YA SASAS KITU KIDOGO TU KINAWEZA KUZAA VURUGU NCHIN
Dah sasa hapo Magufuli nadhani anapata majibu yake
 
Hapo wana ccm wacvyo na aibu,busara, hekima,soni wala haya hata kidigo,niongezee ili wanielewe,watatetea kwa nguvu zao zote,kuonyesha kukamatwa kwa Lowasa ni haki ! Ss matokeo ya ubabe,uonevu,na ukandamizwaji wa wananchi,unaifanywa na ccm,upo jirani kuzaa wanachokitafuta.Lowasa co slaa mliyekua mnamtoa damu yy na Josephen wake ! Endeleeni kidogo tu,muione habari ya wananchi waliochoka njaa,matusi,uonevu na kejeli za ccm na kiranja wenu.
 
Mlimsikia RPC,alivyokuwa anajikanyaga kwenye vyombo vya habari,ooh sisi tulikuwa tunaangalia usalama Wa Mzee lowasa na c vinginevyo,kweli?
 
Polisi aliekua akitoa maelezo juu ya kumkamata jamaa hakua na point ya msingi...anamkamata kuhakikisha usalama kwa raia na kuhakikisha amani kwani jamaa alikua na mabomu?
 
N
...kwa sbb neno "penda" kwa kadiri utakavyolinyambua lipo na linatumika kuelezea hisia

...penda huzaa maneno kama ku - penda, naku - penda, siku - pendi, sim - pendi, mapenzi nk nk

...mimi huyo mtu wako simpendi na ninampuuza na nilishampuuza siku nyingi kwa sbb hafai na hana sifa za uongozi na za kuwa kiongozi!!

...well, umeuliza kama simpendi inasaidia nini?....na wewe swali kama hilo hilo linakuja kwako, wewe unampenda na kumjali siyo? Eehe, inasaidia au kukusaidia nini eti?

...majibu utakayojijibu ktk maswali hayo, ndiyo majibu yangu kwako pia!!!

Kwa heri, usiku mwema.......
Nimekuomba ufafanuzi?
 
Salaam wakulu
Naomba kwa anayejua itifaki,waziri mkuu mstaafu kama mzee wetu Lowasa anaweza kuwekwa chini ya ulinzi wa askari polisi wa cheo chochote?
Niliona kwenye vedio ya Geita kuna askari anaonekana kama kibaka tu anaamrisha gari lipelekwe kituoni. Jeshini kwa tuliobahatika kukanyaga huko inabidi mdogo ajipange kumkamata mkubwa,ikiwa ni pamoja na kupiga salute.

kama hujui Itifaki mada hii ipotezee
labda kama una mawazo ya kujenga mfano kuboresha sheria ili viongozi wetu wa staafu wa kitaifa wasidhalilishwe mpaka na askari wasiokuwa na vyeo karibu.

karibu. nothing personal here.
 
Back
Top Bottom