Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Binti wa Magufuli, Susan anasoma somo la pili. Amefanana sana mama yake. Ameolewa tayari. Lafudhi ya kisukuma. JPM aliwalea watoto wake kijijini hasa, jamaa kauzu hadi familia
 
Aende akajibu yale aliyowafanyia akina Azory Gwanda,Ben Saanane,Alphonce Mawazo,Tundu Lissu (japo huyu hakufa),wale "Waethiopia wasiokuwa na haki ya kuishi", n.k. Na bahati mbaya kwake atawakuta wametulia kwenye kifua cha Ibrahimu.

Mbaya zaidi,anaenda kujitetea yeye mwenyewe huku akiwa hana walinzi wala waimba mapambio wake. What a solemn moment? Hadi natetemeka.
 
Maaskofu na mapadre leo hawakuvaa barakoa wote. Ibada ilofanyika Dar ambayo iliongozwa na Askofu Ruwaichi,walivaa wote.
 
Tazama picha za matukio mbalimbali kutoka chato.
2724160_IMG-20210326-WA0055.jpg
 
Ni kweli lakini tujiandalie uku nyuma tumehacha nini cha kututetea kwa Mola?? Sio watoto wa Azory , kangoye, ben saa8 wanaolia kila siku, sio ndugu wa Lissu na wanae walomshuhudia mpendwa wao akichapwa 32 bullets, sio walochakachuliwa kura zao kt chaguz et al....
Mwisho wa maisha yetu sote ni kaburi...
 
Back
Top Bottom