MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Karugendo alistaafu upadre miaka tisa iliyopita na sasa ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa.
Ndoa hiyo imefungwa ktk kanisa katoliki la Mt Petro. Na misa takatifu iliongozwa na Padre Stefano Kaombe.
Chanzo: Mwananchi gazeti
------------
Hii imekaaje wadau, maana hiki sio kitu cha kawaida katika jamii ya Wakatoliki dunia nzima.