Aliyekuwa mwenyekiti wa CUF taifa afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyekuwa mwenyekiti wa CUF taifa afariki dunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kijana Msomali, Jun 1, 2012.

 1. K

  Kijana Msomali Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chama cha CUF, kwa niaba ya Watendaji, Wanachama, Wafuasi, na Wapenzi wake wote, wakiwamo kutoka Wilaya zote 10 na Majimbo yote 50 ya Uchaguzi, na Matawi 583 ya Zanzibar, wanatoa Salamu zao za Rambi Rambi kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, na Familia yote ya Marehemu Mzee Musobi, na kushikamana nao wakati huu mgumu wa msiba.

  Marehemu Mzee Musobi, alikiongoza Chama cha CUF, akiwa Mwenyekiti wa Pili, tangu alipochaguliwa rasmi kushika wadhifa huo, mnamo Tarehe 13 Julai, 1995, nafasi aliyoitumikia hadi kustaafu kwake kwa hiari na kwa heshima zote, Disemba, 1999.

  Pamoja na Wadhifa wa Mwenyekiti wa CUF Taifa, Mzee Musobi katika uhai wake aliwahi kushikilia nafasi mbali mbali za Uongozi, ambazo ni pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba, na Maendeleo ya Miji, ya Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mwaka 1972 – 1975.

  Marehemu Mzee Musobi atazikwa Kijijini kwake Ngudu, Wilaya ya Kwimba, Mkoani Mwanza, Jumatatu Terehe 4 Juni 2012.

  Marehemu Mzee Musobi, aliyezaliwa Tarehe 1 Aprili,1931, amewacha Vizuka 2, Watoto 15, na Wajukuu kadhaa MUNGU AMLAZE PAHALA PEMA PEPONI-AMIN


   
 2. m

  mangifera Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RIP Babu!!
   
 3. Mmsapali

  Mmsapali Senior Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ilikua juzi mnamo saa 2 na nusu usiku marehemu alipotutoka akiwa nyumbani kwake NGUDU KWIMBA kutokana na maradhi ya KISUKARI na MOYO.
  Mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika hospitali ya BUGANDO ukisubiri kukamilika kwa taratibu za MAZISHI ambayo yanategemewa kuwa JUMATATU 4 JUNE 2012, NGUDU KWIMBA
  "R.I.P GRANPA"
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Rest In Peace!
   
 5. Mmsapali

  Mmsapali Senior Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwenyezi mungu aipumzishe roho yake pahala pema pema peponi. Amina
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Pumzika kwa amani babu Mzee Musobi
   
 7. N

  Newvision JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bad news
   
 8. C

  Cognitivist JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 975
  Trophy Points: 180
  Poleni sana wafiwa wote, niko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. pumzika kwa amani mzee wetu MUSOBI MAGENI.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  RIP Musobi Mageni
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Poleni CUF.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  R.I.P Mzee Musobi...
   
 12. 1

  19don JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  rip babu na poleni wana cuf wote
   
 13. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Poleni Sana.
   
 14. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  RIP babu
   
 15. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Poleni sana wafiwa na wote mlioguswa na msiba huo.
   
 16. N

  Ngoso JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  poleni wapenda Demokrasia wote Tanzania
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  R.I.P. Mzee. Chini ya uongozi wa akina Mapalala na Musobi CUF ilionekana kama chama chenye dhamira njema na watanzania mbele ya jamii. Lakini baada ya wazee kung'atuka CUF sasa inaonekana kama chama chenye dhamira njema na waislamu mbele ya jamii.
   
 18. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Rejea Vitabu vya kiada vya darasa la tatu vinafundisha kuchangia mada kulingana na mada iliyoletwa, Poleni wafiwa wote!
   
 19. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  R.I.P babu,poleni watanzania wote mlioguswa na msiba huu.
   
 20. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  R.I.P mzee Musobi.
  pole kwa wafiwa wote.
   
Loading...