gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,413
- 4,589
Kwanini JPM alisubiri awe Rais Tena aende Kigoma Miaka mitatu tangu Mh.Kafulila atukanwe Tena alitukanwa katika Kikao ambacho John Magufuli alikuwemo ndani ya Ukumbi na alikuwa na haki na fursa ya kumtetea,
Halafu anasisitiza Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu nami naongezea Jasiri pia ni Mpenzi wa Mungu!
Mkuu sikuhizi umebadilika hadi raha