Labda shoga!Lizee litu lizima lilienda CHADEMA kwa kumfuta mwanamme mwenzake,hii ni aibu kubwa.watanzania tubadilike.
Lkn kipindi ndio linaingia huko chadema lilikuwa zee lenye akili sana ama siyo bwanaLizee litu lizima lilienda CHADEMA kwa kumfuta mwanamme mwenzake,hii ni aibu kubwa.watanzania tubadilike.
Ni shida mtu kuishi kwa akili ya kushikiwa. Amelaaniwa amtegemeae binadamu mwenzake.
Sasa tuseme anamfuata kila anakoenda hivyo EL karudi na mkia wake!Lazima amfuate bila hivyo ataishije Jamani ?
Watarudisha makundi ccm kueni macho wanaccm.Aliyekuwa kada maarufu wa CCM Hamis Mgeja aliyetimkia CHADEMA 2015 kumfuata Edward Lowassa amerejea CCM tena.
"Leo tarehe 6/03/2019 nmeondoka Chadema na sitawaunga mkono kwa chochote" Hamis Mgeja.
Pia amewaomba radhi Wanachama wa CwatarudishaCM, wananchi wa Shinyanga pamoja na Familia yake kwa hatua aliyoichukua awali ya kutoka CCM kwenda CHADEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app