Aliyekuwa Mpenzi wangu anataka Kurudi kwangu Nimkubalie?

Jiulize kwa nini ajirudishe mwisho wa mwezi?

Usimjibu sasa hivi mpaka kwenye katikati ya mwezi huko, kama bado akiendela kukutamkia maneno hayo tafakari chukua hatua...

Za kuambiwa changanya na za kwako...

Cc: mahondaw
Asantee sanaa smart
 
CLARITY utendezambi ni ww na nafsi yako na utende mema ni wewe na nafasi yako sheria za mungu ziko pale pale na tunapozivunja tusimsingizie shetani maana yeye anadeal na ww kama catalyst na Mungu baraka zake nikutokana na juhudi zako na nia thubuti kutoka moyoni. NIKIJIWEKA KATIKA NAFASI YAKO JAPO SIJUI STORY NZIMA, KAMA UNAMPENDA NA UNAMWAMINI UYO DADA NA YEYE NAFEEL THE SAME WAY, KWANINI MSIRUDIANE? YAPE MAUSIANO YENU SECOND CHANCE ILI KWA PAMOJA MREKEBISHE YALE YALIOTOKEA, HAKUNA KITU KILICHOKAMILIKA HATA DUNIA YENYEWE HAIJAKAMILIKA NDO MAANA HAISHI KUWA NA MIKASA. GIVE YOUR RELTINSHIP A 2ND CHANCE FOR THE BETTERMENT OF BOTH YOU.
May God Bless You deae Friend..what a Comment
 
Acha kumtumia Mungu wetu mwenye wivu na upendo katika kufanikisha uasherati wako.. Pili tambua unachezea tundu la kifungo cha miaka 30 ambapo ukiyumba tuuu umepoteza. Naona kama unaandaa makala za kuufurahisha moyo zaidi kuliko uhalisia wa maisha...
 
Mkuu umesema kwamba uliomba kwa kusali rozari na kila aina ya sala uliyoona inafaa ili huyo E wako arudi,sasa ameamua kurudi unatuuliza umkubalie ama la?
Personally nashindwa kukuelewa.
Hata mimi sijamwelewa kabisa anachokitaka
 
mteme huyo anataka kkuambukiza gono, ameliokota huko alikotoka
kaa kilomita 10000 mbali nae
My pia anataka kurudi
Tafadhali nipigie haziishi
Mara kabeep
Mara sms natamani nisikie sauti yako
Mwaka mzima hujui ametembea km ngapi
Mtose tu mheshimiwa angalia chuma kisicho na kutu
 
Acha kumtumia Mungu wetu mwenye wivu na upendo katika kufanikisha uasherati wako.. Pili tambua unachezea tundu la kifungo cha miaka 30 ambapo ukiyumba tuuu umepoteza. Naona kama unaandaa makala za kuufurahisha moyo zaidi kuliko uhalisia wa maisha...
Uko sawa..
 
My pia anataka kurudi
Tafadhali nipigie haziishi
Mara kabeep
Mara sms natamani nisikie sauti yako
Mwaka mzima hujui ametembea km ngapi
Mtose tu mheshimiwa angalia chuma kisicho na kutu
Ahahahaa
 
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa? Halafu member wa siku nyingi daah
Yaani hakuna mtu Mwenye fikira nzuri kwa watu wote huo ni mtazamo wako wala siwezi kukuzuia

Lkn kumbuka kuna watu walipigwa wakidhaniwa kuudanganya ulimwengu kwa hoja zao

Bandiko hili ni la kitoto tupu
 
Yaani hakuna mtu Mwenye fikira nzuri kwa watu wote huo ni mtazamo wako wala siwezi kukuzuia

Lkn kumbuka kuna watu walipigwa wakidhaniwa kuudanganya ulimwengu kwa hoja zao

Bandiko hili ni la kitoto tupu
You are Right..
 
You are Right..
Hatua za ukuaji ziko vilevile unaweza kupata tatizo ukabaki palepale au ukafa

Mfano

MTU katika mapenzi huzaliwa , huanza kunyonya, huanza kutambaa , utoto , ujana, utu uzima, uzee na pia hujirudia. Hilo ni penzi lina hatua zote hizo nikikuambia ni bandiko la kitoto unamaanisha mwandishi yupo ktk stage hiyo lkn atafikia ujana na hata uzee haidhalishi kaanza lini mapenzi anaweza kuvuka stage au hata kubaki ktk stage ileile

Narudia bandiko ni LA kitoto
 
You are Right
 
Back
Top Bottom