Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi achukua fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CCM

Wakumbushe nyumbu hawa, leo tena kuna sherehe ya kumpokea shushu kule ACT, Kweli upinzani sikio la kufaaaa
Nyie watu ni wehu shushushu ACT kufanyaje kama sio uongo na ujinga CCM si mmeleta maendeleo ya madaraja na JPM anakubarika uoga wa nini?
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patribas Katambi amechukuwa form kuwania kiti cha ubunge shinyanga mjini , patrobas katambi amekuwa mtiania wa 49 shinyanga mjini huku wanaitajwa kuwa na nguvu ndani ya chama wakitajwa ni gasper kileo na Steven masele.

=======
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo Jumatano Julai 15,2020 amechukua Fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwaka 2015 akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Patrobas Katambi aligombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA,hata hivyo Stephen Masele (CCM) aliibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini na mwaka 2017 Katambi alijiunga CCM na baadaye kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma.

Hana ndoa, nimtu wa wake za watu, hawezi kuongoza watu na ndoa zao.
Aoe ajue uongozi unnanzia kwenye familia.
Pili, hana aiba ya uongozi, pia sura/receiption yake haivutii kuwa icon, akafanye kazi nyingine kama kambi za kulelea wazee
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patribas Katambi amechukuwa form kuwania kiti cha ubunge shinyanga mjini , patrobas katambi amekuwa mtiania wa 49 shinyanga mjini huku wanaitajwa kuwa na nguvu ndani ya chama wakitajwa ni gasper kileo na Steven masele.

=======
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo Jumatano Julai 15,2020 amechukua Fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwaka 2015 akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Patrobas Katambi aligombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA,hata hivyo Stephen Masele (CCM) aliibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini na mwaka 2017 Katambi alijiunga CCM na baadaye kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma.

Kama 2015 na Nguvu ya UKAWA alibwagwa na Masele basi 2020 HATOBOI hata kwa mbeleko ya MEKO.
 
Nyie watu ni wehu shushushu ACT kufanyaje kama sio uongo na ujinga CCM si mmeleta maendeleo ya madaraja na JPM anakubarika uoga wa nini?
Wanamuogopa Membe sana hivyo alivyoenda upinzani wanazidi kupagawa wanaona mziki utakuwa kama wa 2015 mwendo mpera mpera hivyo wanaleta propaganda zao mara wapinzani hawajifunzi,mara shushushu na blah blah kibao za kuwakatisha tamaa wapinzani huku moyoni wanajua kwamba MEMBE atawaumiza kwenye uchaguzi.
 
Ni mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini na jana kachukua fomu ya kuomba kuteuliwa awe mgombea wa CCM jimbo la Shinyanga.

Hoja hapa ni kwa nini nafasi yake ya ukuu wa Wilaya hajateuliwa mwingine tofauti na wenziye waliotia nia?!
 
Wanamuogopa Membe sana hivyo alivyoenda upinzani wanazidi kupagawa wanaona mziki utakuwa kama wa 2015 mwendo mpera mpera hivyo wanaleta propaganda zao mara wapinzani hawajifunzi,mara shushushu na blah blah kibao za kuwakatisha tamaa wapinzani huku moyoni wanajua kwamba MEMBE atawaumiza kwenye uchaguzi.
Wapuuzi sana
 
Back
Top Bottom