Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bank M, Sanjeev Kumar afikishwa mahakamani Kisutu

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,586
6,639
Wakuu,

Nyepesi za muda huu zinabainisha kuwa aliyekuwa Mkurugenzi Bank M (CEO wa M Holdings Group) alikamatwa na Vyombo vya Dola na leo anafikishwa mahakamani Kisutu.

99E3ECC4-CAC3-434B-81E9-1F9A97BA5644.jpeg

Ilikotoka:

BoT yaiweka chini ya usimamizi maalumu Bank M. Benki ya Wanawake imeungana na Benki ya Posta - JamiiForums

Benki Kuu ya Tanzania(BoT) yahamisha Mali na Madeni ya Bank M kwenda Azania Bank Ltd - JamiiForums

More to follow

UPDATES:

Amefikishwa mbele ya Hakimu Huruma Shaidi na anasomewa mashtaka; yamo ya utakatishaji fedha

Sanjeev Kumar amesomewa Mashtaka yenye Makosa 29 yakiwemo 12 ya kutakatisha fedha na amekosa dhamana na kwenda mahabusu
 
Tafadhali aliye na Picha za Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Mkapa au Mbunge wa Butiama Mzee Mkono ambazo zinaonekana ' clear ' kabisa anisaidie kunitumia katika PM yangu kwani nina Kazi nazo hasa Kitaaluma kwakuwa Kwangu Mimi hawa ndiyo nawaona Viongozi wangu bora kabisa halafu nawakubali mno. Nitashukuru.
 
1551947480374.jpeg

1551947547257.jpeg
Ny

Nyumbani kwako sikufahamu nimekuletea hapa hapa
 
Tafadhali aliye na Picha za Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Mkapa au Mbunge wa Butiama Mzee Mkono ambazo zinaonekana ' clear ' kabisa anisaidie kunitumia katika PM yangu kwani nina Kazi nazo hasa Kitaaluma kwakuwa Kwangu Mimi hawa ndiyo nawaona Viongozi wangu bora kabisa halafu nawakubali mno. Nitashukuru.
zero kabisa wewe huna wazazi au

uwe na heshima
 
Tafadhali aliye na Picha za Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Mkapa au Mbunge wa Butiama Mzee Mkono ambazo zinaonekana ' clear ' kabisa anisaidie kunitumia katika PM yangu kwani nina Kazi nazo hasa Kitaaluma kwakuwa Kwangu Mimi hawa ndiyo nawaona Viongozi wangu bora kabisa halafu nawakubali mno. Nitashukuru.
Coded message

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#Maendeleo hayana CHAMA

Ms Jacqueline Woise ....current Managing Director at Multichoice Tanzania Ltd.

Taratibu tu tutafika ambapo TUNAPASWA KUFIKA KAMA NCHI NA SERIKALI
 
Back
Top Bottom