Aliyekuwa Mkurugenzi wa Alex Stewart kumbe ni mtoto wa Mramba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Alex Stewart kumbe ni mtoto wa Mramba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by payuka, Sep 7, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haya mambo sijui yataishia wapi, jana nimeona kwenye TBC1 mwendelezo wa kesi inayomkabili Basil Pesambili Mramba juu ya matumizi mabaya ya ofisi, nilipigwa na Butwaa niliposikia kwamba mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Alex Stewart alikuwa ni mwanae

  My take..

  Hii nadhani ndo sababu iliyopelekea huyu jamaa atoe msamaha wa kodi kinyume na taratibu.....

  Tutasikia mengi sana.......Bado kuna kampuni kibao za namna hii Tanzania ni suala la muda tu mambo kulipuka waanze kutajana na ile ni ya mtoto wa mheshimiwa fulani.....
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Iiiiiyah, CCM ni genge la waizi wanaotumia siasa kama smoke screen.
   
 3. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mramba ni Mchaga,pesa mbele!

  Anna Mkapa na Mramba wangekuwa KEKO siku nyingi,kama tungekuwa na FREE media,FREE Judiciary na Bunge halali lenye nguvu.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Nchi zingine mihimili ni minne...MEDIA....EXECUTIVE.....PARLIAMENT...JUDICIARY...kama Pakistan...Rais Musharaf alipojaribu kuingilia mahakama alikiona cha moto
   
 5. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  sasa kama ni hivyo it is very obvious kwamba ana kesi ya kujibu, kwanini NEC na CC ya CCM wamendelea kumuacha kama mgombea na wakati huo huo wakamtema Mwakalebela? nachukizwa sana na Taifa linalooongozwa kwa double standard.
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,346
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Kwa ajili ya kampeni ya kikwete..............."nimefikisha watuhumiwa mahakamani"
   
 7. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu Mramba hata kama hana hatia katika kesi hii. Tunamwombea afungwe kiaina (kama Liyumba) ili ajue kwamba kuwambia watu "hata ikibidi wale majani ndege ya Rais lazima inunuliwe" ni jeuri ya kupitiliza. Sauti ya watu ni sauti ya Mungu
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,219
  Likes Received: 5,617
  Trophy Points: 280
  alafu ati wamemkatalia mwqkalebela kisa ana kesi mahakamani

  kweli hawa ccm pumbafuuuuuuuuuuuu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  kisa za mramba ziliwasaidia kuingia madarakani demn ccm
   
 9. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,448
  Likes Received: 781
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kuona maajabu ya nane ya dunia njoo Tanzania.
   
 10. senator

  senator JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hapo naona Utakuwa umePAYUKA..Sidhani kama unauhakika na habari hiyo.Hii kesi ilikwisha muda mrefu kuna gazeti lilituhumu hivyo baadae kuja kuthibitika ikawa sivyo na wakatakiwa kuomba msamaha kwa kumchafua mhusika.Kwa kifupi hakukuwa na Mkurugenzi yoyote mwenye uhusiano na wakina mramba wala Mgonja...Aliyekuwa meneja wa wakati huo alikuwa mtu wa Kagera nadhan akiitwa GK kabla yake alikuwepo mwingine kwa jina la DC wote hao hawakuwa na uhusiano wowote na BPM
   
 11. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0

  Kumbe TBC1 huwa wanarusha habari za Uwongo Siku hizi...........lakini mkuu Senator kwani mfumo wa kampuni kwa kufuata sheria za Tanzania si inatakiwa kuwe na directors zaidi ya mmoja? mf. Board of directors af ....ukienda mbali zaidi huwa kuna Non Executive Directors (NEDs).
  Sasa nawewe unauhakika gani kwamba hakuwa mmoja wapo? au nawewe ulisha- benefit kwa namna moja au nyingine na matunda ya kifisadi?
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Subirini na ridhiwan miaka mitano inayofuata uchafu atakaofanya ikiwa baba yake atakuwa rais
   
 13. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mmakonde una visa wewe! hawa mbona umewaweka pamoja? wana nini in common?
   
 14. senator

  senator JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Watoto wa mramba wa ndani na wa nje ya Ndoa nawafahamu ndo maana napingana na hiyo habari..tuhuma hizo zilishakwisha ,TBC wamechukua maelezo yaliyozushwa kipindi hicho cha nyuma.Ungesema mtoto wa YONA kidogo ningeweza kuvuta baadhi ya link na ASAGBC..Matunda ya kifisadi ndo naona uchaguzi huu utanitoa kuna mbunge mmoja mtarajiwa anataka kuniletea fungu la kutosha nikusanye vijana wenye kadi za kupiga kura ili siku ya siku niwe nao kwa uhakika wa ushindi huenda nikaonja harufu ya tunda la fisadi!!
   
Loading...