Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Yanathibitika bana,unajua neno vijisenti lilitokana na nini? Alipata mgao wa Radar akaficha Rhode Islands Uingereza,ikijulikana,wakati anatoka nje ya nchi akabanwa na waandishi wa habari uwanja wa ndogo ndo akasema hivyo Ni vijisent tuu.Hapo ndo jina vijisent likampata.
Haikuwahi kudhibitika kuwa hizo pesa aliiba. Otherwise angefungwa kama wenzake kina Mramba.
 
Unaongea vitu usivyovijua ,kuna CEO alikuwa analipwa 45m per month ,anaishi kwenye ufukwe oysterbay ,V12 Brand New na Dereva 24hrs kampuni binafsi.
Unaropoka tu hamna wa kulipwa hela hyo,halafu hyo V12 brand new ndo gari gani?
 
Unaropoka tu hamna wa kulipwa hela hyo,halafu hyo V12 brand new ndo gari gani?
Wewe tu na umasikini wako unaona hakuna watu wanalipwa hiyo,hivi unajua ma CEO wa migodini wanalipwa ngapi? Usifatilie maana unaweza ukazimia kama 45m umeona ni nyingi,kwani unavyoambiwa serikali iache kununua V8? Kwani V8 ni nini? Ukishindwa hoja acha kuangalia vitu ambavyo mtu makini akiona atajua huna hoja!! Sio kila kitu mpaka utafuniwe,JF ni great thinkers!! Akiambiwa v12 anajua tunazungumzia nini,kadri unavyojifanya mjuaji ndio unazidi kuanika "UBUMUNDA" wako!!
 
Yote hayo ni maneno. Anajua mwenyewe alivyoipata. Ila hakuna wa kudhibitisha kuwa jamaa aliiba.
Mama la mama nakufollow tokea juu naona unamtetea sana baba la baba... ama ni baba mkwe ninii... Ila usiwaze wanaomwandama ni wivu tu, kwanza hela haikuwa ya bibi yao
 
Mama la mama nakufollow tokea juu naona unamtetea sana baba la baba... ama ni baba mkwe ninii... Ila usiwaze wanaomwandama ni wivu tu, kwanza hela haikuwa ya bibi yao
Hapana simtetei. Ila jamaa huwa anaiba halafu haachi traces. Hakuna transactions wala nini. Sasa hapo hakuna wa kudhibitisha.
 
Wewe tu na umasikini wako unaona hakuna watu wanalipwa hiyo,hivi unajua ma CEO wa migodini wanalipwa ngapi? Usifatilie maana unaweza ukazimia kama 45m umeona ni nyingi,kwani unavyoambiwa serikali iache kununua V8? Kwani V8 ni nini? Ukishindwa hoja acha kuangalia vitu ambavyo mtu makini akiona atajua huna hoja!! Sio kila kitu mpaka utafuniwe,JF ni great thinkers!! Akiambiwa v12 anajua tunazungumzia nini,kadri unavyojifanya mjuaji ndio unazidi kuanika "UBUMUNDA" wako!!
Na wewe unalipwa milion arobain na ngap? Halafu nimekwambia uweke Hilo V12 naona unabwabwaja tu si ajabu hata paso huna
 
Hapana simtetei. Ila jamaa huwa anaiba halafu haachi traces. Hakuna transactions wala nini. Sasa hapo hakuna wa kudhibitisha.
Sheria ni kitu kizuri sana ukikijua... Kwamba ni kosa kuvunja sheria kwa kuwa ukiivunja utashughulikiwa na dola ni jambo moja ila ukiwa smart enough unaweza kuivunja sheria hiyo hiyo ukiwa sehemu ya dola bila kuacha trace na bado ukasaidia kummulika mwizi maisha yakiendelea huku ''uchunguzi'' ukiendelea...kuja kushtuka miaka mitano tena hii hapa unachukua tena basiiiii!
 
Inasikitisha Sana ,mtu aliyejijengea heshma kwa muda mrefu,akajenga taasisi ya fedha hadi kuwa ya kupigia mfano na kisha akastaafu,anakubali kujiunga na mambo ya siasa.Hakika haijawahi kumuacha mtu salama.Ni tamaa,Ni kutishwa ama chanzo ni nini? Atakuwa tayari kuishi matokeo atakayoyapata? Mahiga na Augustino Ramadhani hakuna ajuaye nini kiliwatokea.
sasa mahiga na augustino unataka kusema vifo vyao vina walakini sio
 
Hii hapa chini ni comment ya member owomkyalo anaeamini kuwa Kimei ni tajiri na hivyo atakuwa mwakilishi mzuri wa wananchi Bungeni:

"Japo mm ni Nccr ila siwezi kumnyima tajiri kama kimei kura yangu."

Nikukumbushe tu ndugu yangu,huyu Kimeia akifanikiwa kuwa mbunge,atakuwa ndio wale wale wa kujadili hoja huku analaumu na kukosoa ila mwisho wa siku anaunga hoja mkono kwa asilimia 100.

Nina hakika mko wengi wenye fikra kama zako na ndio mtachagua watu kama kina Abbas Tarimba mkiamini watakuwa wabunge wazuri kisa ni matajiri,n.k.

Wadanganyika tumelogwa!!
 
Kadanganye wazushi wenzako wa kayole!! Trump mwenye raisi wa Dunia halipwi 500m per month.
Google salary and others benefits za Joshua Oigara CEO wa KCB-KENYA na GIDEON MURIUKI CEO wa Cooperative bank of Kenya.
 
Na wewe unalipwa milion arobain na ngap? Halafu nimekwambia uweke Hilo V12 naona unabwabwaja tu si ajabu hata paso huna
Mimi sio CEO wa kampuni,mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo mwenye kipato cha laki 4 hadi laki 6 kwa mwezi,nishavuka stage ya kuchukulia gari kama kitu cha hatari ,kwasisi wenye familia gari muhimu sana kuwa nazo kwahiyo ondoa shaka kuhusu kumiliki magari.

Mimi nipo stage ya kuulizwa una nyumba ngapi na biashara ngapi na sio gari!! Nilianza kumiliki gari wakati nadhani unanyonya au unapenga makamasi na mkono!

Unaweza Uka google V12 ukapata majibu,fuata V8 series za serikali ndenda hadi V12 ndio CEO anatumia.
 
Google salary and others benefits za Joshua Oigara CEO wa KCB-KENYA na GIDEON MURIUKI CEO wa Cooperative bank of Kenya.
Elewa Mkuu Salary na sio benefits , benefits zinachange mkuu kulingana na hali ya hewa(mazingira),mie nazungumzia salary!! Hata bank ukichukua mkopo wanataka kujua salary na sio benefits wala allowances(incentives).

Weka link ya salary zao,sitaki benefits!!
 
Back
Top Bottom