Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Mimi sio CEO wa kampuni,mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo mwenye kipato cha laki 4 hadi laki 6 kwa mwezi,nishavuka stage ya kuchukulia gari kama kitu cha hatari ,kwasisi wenye familia gari muhimu sana kuwa nazo kwahiyo ondoa shaka kuhusu kumiliki magari.

Mimi nipo stage ya kuulizwa una nyumba ngapi na biashara ngapi na sio gari!! Nilianza kumiliki gari wakati nadhani unanyonya au unapenga makamasi na mkono!

Unaweza Uka google V12 ukapata majibu,fuata V8 series za serikali ndenda hadi V12 ndio CEO anatumia.
Me nataka uniwekee hizo V12 ambayo huyo CEO wako anatumia..unazunguka Sana mzee kujitapatapa huku wanakutombea mkeo tu
 
Elewa Mkuu Salary na sio benefits , benefits zinachange mkuu kulingana na hali ya hewa(mazingira),mie nazungumzia salary!! Hata bank ukichukua mkopo wanataka kujua salary na sio benefits wala allowances(incentives).

Weka link ya salary zao,sitaki benefits!!
Google

Kwa nini bonus tusiziweke? Kwani hizo bonus hapokei?
Muriuki kwa mwaka mshahara wake ni tsh bilioni2.3+ ukigawanya hapo utapata kila mwezi ni zaidi ya m200
 
Sasa ndio mil 500 hizo?
Huo ni mshahara, ukijumlisha vyote ndo utapata zaidi ya 650+M za Tanzania,
Bonus na benefits lazima zihesabiwe kwa sababu hayo malipo yanaingia mfukoni kwake na sio mfukoni kwa mwingine.
Crdb faida ya mwaka haifiki hata bilioni200 uje ufananishe na kcb au copbank of Kenya.
 
Mimi nazungumzia mshahara ,halafu usiangalie mapato ya kampuni na mishahara ya watu,kuna kampuni zinamapato madogo lakini faida yote wanaigawa kwa wafanyakazi kama salary kuna kampuni zina mapato makubwa lakini wafanyakazi wanapewa peanut tu ya mapato....Kwahiyo inawezekana pia MD wa CRBD akachukua fedha ndefu kuliko MD wa KCB.
 
Mbatia huko alipo atakuwa anaumia sana. Hapa Kimei atapata asubuhi na mapema. Iam sure CCM watampitisha. Maana kura za maoni hilo halina shaka kishashinda.
Hiyo ni janja tu. Jimbo ametengewa Mbatia na JPM. Kimei atashindwa ili kuonesha kuwa kulikuwa na demokrasia.
 
Hamzidi waziri ww hata katibu mkuu hamfikii
MaCEO wa kenya sawa sio MaCEO WA BONGO
Kwa benki Kama CRDB, Kimei Ni zaidi ya Waziri, kwa Nini?Waziri Ni cheo Cha kisiasa
Ambacho lazima ulambe makalio ya Boss wako ambaye anaweza kukufukuza muda wowote, fitina na kusalitiana vipo Sana kwenye siasa

Mshahara wa Waziri Nadhani mdogo kuliko wa MD wa CRDB,
waziri yupo limited kwenye 5 years wakati MD Ni performance yake tu ndio itaongea

kwa kifupi kazi ya Ukurugenzi wa CRDB kwa Kimei ilikuwa Ni secure zaidi, inalipa zaidi, kuliko ya Uwaziri
 
Mkuu umeongea ukweli Mpunga wa MD/CEO wa CRDB ni zaidi ya Mbunge/Waziri ,Kama ni power unaweza ukawa na power nje ya siasa ,Bakhresa ana power sana lakini hajui hata siasa kitu gani na hajawai kusema hata CCM Oyeeee!!
 
Tanzania mwenye real power Ni Rais tu, Waziri unaweza kuondolewa muda wowote kwa mistake ndogo na matusi juu,
mtu aache kazi Kama MD wa CRDB aje kufanya kazi isiyo na guarantee huku akitukanwa hadharani na Magufuli?
 
Sasa 45M waziri hawezi kuipata? Magumashi ya wizara yote anayajua,
Kenya ndio kuna maCEO wanalipwa hadi milioni500(kila kitu) kwa mwezi.
Rais analipwa million 9, Sasa unadhani Rais amlipe Waziri hela nyingi Mara 5 kuliko anayopokea yeye?
Hivi haukumbuki Magufuli alipoingia madarakani alifyeka mishahara ya wakurugenzi wote was madhirika ya umma?
 
Kimei anajitafutia ugonjwa wa moyo. Watu hawatosheki. Kwa kweli namshangaa kwenda huko kugombea ubunge badala ya kukaa na kulea wajukuu. Hivi unaanza kupambana na akina Mbatia ambao wapo kwenye siasa tangia utoto wao si kujitafutia kiharusi. Atafumuliwa hadi ashangae
Nadhani atakuwa kapewa guarantee ya kushinda na Magufuli, kuanzia kura za maoni Hadi uchaguzi Mkuu, kumbuka chaguzi za Tanzania siku hizi zinavyokuwa, Rais kupitia Kamati za CCM, Wakurugenzi, na Polisi ndioa anaamua Nani awe Mbunge
 
Back
Top Bottom