Aliyekuwa mke wangu sasa ni mchepuko wangu

Jan-uary

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
967
1,015
Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
 
Mwenyewe unajiona kidume hapo huoni Hugo dem anakutumia kama kondom ng'astuka .....dawa yake ilikua kumsemea kwa men wake aonje joto. ...we mke anakuacha then baadae anaitaman dushe unaona sifa....hizo sio tabia za mwanaume
 
hahahaha ivi mwanaume nae huwa anatumika??? kumsemea huo umbea sasa wakat mtu kahaidiwa kupewa utamu unasema nini sasa?
 
Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
Hii kawaida mkuu
 
Mimi mwanamke nilye zaa naye ameolewa sasa kila mala anataka tumkuze mwanetu
 
Mwenyewe unajiona kidume hapo huoni Hugo dem anakutumia kama kondom ng'astuka .....dawa yake ilikua kumsemea kwa men wake aonje joto. ...we mke anakuacha then baadae anaitaman dushe unaona sifa....hizo sio tabia za mwanaume
Sioni sifa ila nawashangaa wanawake wanaokimbia ndoa na kukubali kuwa mchepuko wa yuleyule aliyemkimbia.
 
Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
Una roho ngumu sana. Mm hata nisingeweza kuwa naye kweny mahusiano tena. Ningempa salamu tu basi, hata namba angeomba nisingempa
 
Back
Top Bottom