figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
kuna tetesi kwamba yule aliyekuwa anagombea igunga kupitia chama cha UPDP mheshimiwa Hemedi Ramadhan kaamua kujiunga CUF ili kuongeza nguvu ya kukitoa chama cha mapinduzi madarakani.anasema hafurahishwi na kuona vijana wa kitanzania kuendelea kuungua jua kama solar pannel.
huyu jamaa ndo alikua anasema kwenye kampeni zake kwamba akishinda wananchi watakuwa wanakunywa na kula hadi wakose rivasi kama samaki.kwenye uchaguzi wa igunga ulioisha alijikusanyia kura 63.mia
huyu jamaa ndo alikua anasema kwenye kampeni zake kwamba akishinda wananchi watakuwa wanakunywa na kula hadi wakose rivasi kama samaki.kwenye uchaguzi wa igunga ulioisha alijikusanyia kura 63.mia