Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA, Hamis Tabasamu ahama chama

Watatulia wenyewe na watarudi kundini woote waliokuwa wamedanganywa sasa wametambua ukweli baada ya kuona wasaliti wa taifa wanaendelea kutetea ujinga waliofanya wachache kwa maslahi yao binafsi watatulia tu yangu macho
 
Hawezi kuwa Mbunge huyo, elimu darasa la Saba, pia anamiliki Sheri za mafuta hivyo anahitaji kinga ya kutoshughulikiwa na Magu.
Kasoma alama za nyakati anahisi ngeleja atafukuzwa ccm agombee yeye
 
Huyu si wale wale ambao tunataka hadi kufika 2020 tuwe tupo watu makini cdm tuwatoe ccm hata kwa nguvu yeyote ile shenziiii
 
Hahaha sindano kali. Kaona after all watuhumiwa wa ufisadi wote wapo chadema na wengine walikua mawazir wakuu wastaaf. Na ambao walikua wakisimamia shughuli za serikali zote kipindi hicho cha makinikia. Hahahah siasa hapa imeiva. Sijui chadema tutasemaje
Hahhahahhaha ila anapoenda huko hakuna hata mmoja aliyetajwa kwenye ripoti ya professor usoro???!! Nchi kweli tunachekesha yaani ahame kisa mchanga ila ahamie ccm ambayo ina yona na chenge???? kaz kwelikweli
 
Aliekua mgombea ubunge wilayani sengerema kupitia chadema hamis Tabasamu ameamua kuondoka chadema kufuatia ripot ya pili ya mchanga anadai chadema wamekosa uzalendo kwa kupinga juhudi za Rais Magufuli
IMG-20170613-WA0009.jpg
 
Kwavile chadema ndio walisaini hiyo mikataba aondoke kabisa aende huko ccm waliokuwa wanapinga hiyo mikataba
We lofa sana, unaambiwa wengi wa waliosaini na kukosa uzalendo ni watu tu, na wengi sasa hivi ni wafuasi wa chadema baada ya ccm mpya kuwanyima kila upenyo wa kuwania uongozi, by the way, hata kama ilisainiwa na wasio wazalendo wachache, ndio iachwe iendelee mpaka wapi na mpaka lini? Nyie Machadema mbona mmekuwa brainwashed na mwanasheria uchwara!!? Weka uzalendo mbele, aliyesaini awe ccm au chadema bado ni mtu na alifanya kwa tamaa zake sio chama, Hongera mhe Magufuli, fumua mikataba mibovu hiyo.
 
DAAH NI PIGO HILI KWA CHAMA CHA CHADEMA....JE TUTARAJIE MENGINE ZAIDI??!!!
Na bado, watu ndio wanastukia chama cha wapiga dili na wazungu ili waendelee kutuibia! Chama cha wafanya mapenzi na starehe! Ha ha ha ha ha haaaaa!
 
Back
Top Bottom