Aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo ahukumiwa kifungo cha miaka 200 Jela

Kuna mtu kaitia hasara ya bilioni 100 kaukumiwa miaka 4 au kulipa faini milion 8 lakini huyu mganga mfawidhi mmempiga kikatili sana

Katiba mpya ni muhimu sana
 
Dah! Namjua mbona ni mtu poa sana? Sema anapenda maisha mazur labda ndiyo maana yameMponza
 
kifungo cha miaka 200 jela au kulipa faini ya shilingi Mil. 52.

Hukumu hii ni baada ya kukutwa na makosa 60 ya uhujumu uchumi, likiwemo la wizi kwa mtumishi wa Umma.
Yule wa ATCL anatakiwa kulipa Mil 8 kwa upotevu wa billions, hizi hukumu ni utata mtupu
 
Ningekuwa mtumiaji wa Instagram ningeenda kuipitia, samahani unaweza kukielezea hapa alichokieleza ndugu Malisa?
Screenshot_2021-08-20-22-17-37.png
 
Yupo uraiani, huru anakula maisha.
Haya mambo ya uzalendo yanasemwa na wavaa tai, ila uhalisia hata shetani anaweza sema ahusiki.
 
Back
Top Bottom