Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Lwakatare: Viongozi wa CHADEMA ni kama wana maplastiki vichwani

Anachoongea ni kweli ila, Ila muda alioongea inaonekana anaropoka tu.
Rwakatare ni juha kilaza anawezaje kujua chochote? Nani mwenye Akili timamu anaweza kukaa kumsilikiza huyo kahaba wa siasa anayemanga manga kwenye vyama vya siasa
 
Ila naamini kila utawala na msema kweli wake ,kikwete,mtikila na mwanahalisi walimsumbua sana,Rais magufuli,Lissu na Kigogo2014 wanamuumiza kichwa sana
 
Ni jambo la kusitikisha sana. Ulikuwa na njaa ukapewa chakula baada ya kushiba una anza kumkafu aliye kupa chakula
 
Kauli kama hiyo ingetolewa na mtu mwingine kumuhusu Baba mwenye nyumba na wenzake katika chama chake sijui kama muda huu mtu huyo angekuwa bado uraiani!!
 
Hii ndio Tanzania Bhan wao jengo lao tu wanchemka kulikarbat zen wanpinga maendleo yanayo onekana
 
Rwakatare ni juha kilaza anawezaje kujua chochote? Nani mwenye Akili timamu anaweza kukaa kumsilikiza huyo kahaba wa siasa anayemanga manga kwenye vyama vya siasa
Ni mdangaji tu huyo. Bora AKATELA EBIKONYA OMWABO.
 
Rwakatare ni juha kilaza anawezaje kujua chochote? Nani mwenye Akili timamu anaweza kukaa kumsilikiza huyo kahaba wa siasa anayemanga manga kwenye vyama vya siasa
Huyo Ni mdangaji tu . Bora AKATELA EBIKONYA OMWABO.
 
Rwakatare ni mshamba fulani kaamua kuendesha siasa kama mipasho ya Taarabu, yeye mwenyewe kanyoa pank kama Msukuma wa kijijini ndani kwa ndani kule kolomije, Ubongo wake ndiyo umejaa plastic yeye ni mbumbumbu anawezaje kujua chochote?
Bora ungekaa kimya. Hii inathibitisha kweli mnna maplastic kichwani Kama hamna ungejibu kwa hoja kuonesha mna hekima.
 
Back
Top Bottom