Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Mzuqa wanajamvi!

Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.

Sasa hivi na focus future sitaki kabisa IQ yangu iwe na mushkel.

Kuna comment moja iliniacha hoi siku ya harusi yake

Msafara wake Dongo janja ulipata sekeseke la Polisi

Comment ikawa:
"Hao polisi hata wahangaike vipi leo lazima dogo alale bila chupi taka wasitake"
 
Mzuqa wanajamvi!

Huyu dogo si ndie alikuwa anawaita CCM ukoo wa panya. Sasa naye amekuwa panya. Umetuangusha aiseee.

Sasa hivi na focus future sitaki kabisa IQ yangu iwe na mushkel.
Nikikumbuka ule uchaguzi wa marudio aliopambana na mkwe wa Lowassa, na jinsi alivyoungwa mkono, namshangaa sana. Nikikumbuka matusi ya Lusinde, nikikumbuka lile KOMBORA alilorushiwa Rais mstaafu Ben…… .ama kweli, Wanadamu, hatuna shukrani!
 
Ile by election watu walijitolea kumlindia kura. Lusinde mkapa na makamba sr walijaribu wakashindwa. Bora angejiunga chama kingine
 
Lakini hamna kipya hapa kwanzia mwanzo hawa watu ni maslahi yao wanatafuta amna cha wanyonge wala maskini kila mtu apambane na hali yake
 
Siasa ni mbaya, watu wanataka mabadiliko Fulani lakini Tz hatujapata wanasiasa wakweli na hii inaweza kuzalisha watu wa kuyatafuta katika njia itakayoliumiza taifa
 
Nakumbuka dogo alivyojikosesha kuhudhuria vikao vya bunge kimakusudi!...nikajua tu dogo ashavuta mkwanja!...maskini wafuasi wake walikuwa nyuma yake kumsapoti mahakamani kupinga kuvuliwa ubunge!....
 
Hasa kama mtu utaamua kulitumikia tumbo
Nikikumbuka ule uchaguzi wa marudio aliopambana na mkwe wa Lowassa, na jinsi alivyoungwa mkono, namshangaa sana. Nikikumbuka matusi ya Lusinde, nikikumbuka lile KOMBORA alilorushiwa Rais mstaafu Ben…… .ama kweli, Wanadamu, hatuna shukrani!
 
Sio wajinga Ila ni wapumbavu,wote kwa ujumla wao,umetukana weeee umetukanwa weeee halafu kesho unaenda hukohuko unakenuakenua tu bila mpangilio,na katika wote Kuna wapumbavu waliovunja rekodi
1:Morogoro
2:Songwe
3:Arusha
Hao ndio wapumbavu bora kuliko wote
 
Lakini hamna kipya hapa kwanzia mwanzo hawa watu ni maslahi yao wanatafuta amna cha wanyonge wala maskini kila mtu apambane na hali yake
We jamaa una akili sana. Mimi nashangaa sana huu umaandazi wa mwanaume mzima unalia lia eti mwanasiasa amekusaliti!
 
Back
Top Bottom