Aliyekuwa Mbunge Lazaro akiwa na Mwanasheria Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi leo

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mhe Lazaro Nyalandu akiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi wanavyoonekana kwa tabasamu na misingi ya utu uliojengeka mioyoni mwao.
IMG-20171101-WA0012.jpg

====UPDATES
Baada ya Lazaro Nyalandu kumtembelea Tundu Lissu ameandika ujumbe huu.
MUNGU akuangazie NURU za USO wake na kukupa amani kaka yetu mpendwa [HASHTAG]#TunduLissu[/HASHTAG]. Akakuponye majeraha na maumivu yako na kukufanya Taifa kubwa. Kwa wote wanakuombea na kukupenda, ikawe heri kwao, na kwako iwe AMANI, UPONYAJI, na mafanikio. Utukufu ujao uwe Mkuu kuliko ule wa awali. [HASHTAG]#AmaniIweNawe[/HASHTAG] [HASHTAG]#MunguIbarikiTanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#LetLoveLead[/HASHTAG].
 
Nyalandu anatumia ugonjwa wa Lisu kupata media attention; kama kawaida yake, misiba, wagonjwa na ajali.
 
Kuna watu wana karibia kupasuka.
Milango ya mahakama. IPO wazi
Ila haki itendeke.
 
Back
Top Bottom