Aliyekuwa Mbunge Lazaro akiwa na Mwanasheria Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi leo

Zamani Yanga na Simba kulikuwa na kina Zamoyoni Mogella, Hamisi Mwamba, Mwameja, Mohamed Hussein Mmachinga etc ambao wote walitumikia vyema timu zao na kutamba sana. Ila leo uwalete kina Mogella wacheze na kina Kichuya ni vichekesho. Muda wao umeenda. Simaanisho lolote msinitoe ngeu
 
FB_IMG_1509553213394.jpg
 
SAFI SANA. TUNASHAURIWA KUWATEMBELEA WAGONJWA MAHOSPITALIN ILI KUWAFARIJ NA KUWAPA MATUMAIN, HATA KAMA HATUWAFAHAMU.

NI SEHEMU YA IBADA NA UTAPATA BARAKA.

TUIGE MFANO WA NYALANDU ktk hili
 
Vipi na alieuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu mpo nae poa tu..
Vipi na yule alieiingiza nchi kwenye mikataba mingi yenye utata nae mpo nae poa tu..??
Ila mtu akishahama huko ndio anakuwa mwizi na fisadi..
Shubaammiitt.
Alieuza nyumba ni sumaye ndie aliepanga bei kwa kusema ni nyingi alienunua kivuko ni pinda na alieingia mikataba ya vitalu ni nyalandu alieingia mikataba ya richmond ni lowassa wote wapi hivi sasa!
 
peleka unafiki huko lumumba serikali inaogopa kuwachukulia hatua mafisadi wakiwa ccm ni malaika wakienda upinzani ni mafisadi acheni huo ushamba
Chama changu chadema kinateketea mafisadi wamekipoka sasa hivi hatuna tena utakatifu tuliokua nao enzi za Dr Slaa hatuwezi kukemea ufisadi tena sababu meno tuliokua nayo ya kurarua mafisadi yameng'olewa na wenye tamaa ya fedha chamani saivi chadema imerikodi idadi kubwa ya wimbi la mafisadi na kuutetea ufisadi wazi wazi bila kifucho wala haya.

Na kulialia Dr Wilbroad Slaa.
Chadema tumemezwa tunatafunwa wazima wazima hakuna wa kuhoji sababu maagizo yanatokea machame na remote ya chama ipo huko ruzuku nazo wanazifakamia bila kunawa mikono wala kupangusa midomo chama kinatafunwa haijawahi kutokea na hakuna wa kuleta fyokofyoko sababu tumetiwa mfukoni mwa kaptula ya Lowassa eeh Baba tuhurumie
 
Lumumba wanaumiaaaa!!!namuonea huruma polepole maana sura yake inazidi kusinyaa kwa mawazo
Polepole anasema Nyalandu kaikimbia ''kasi'' ya Pombe. Ndugai anasema kapokea barua ya kumfukuza uanachama Nyalandu. Hawa jamaa ni kama wamechanganyikiwa.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mhe Lazaro Nyalandu akiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi wanavyoonekana kwa tabasamu na misingi ya utu uliojengeka mioyoni mwao.
View attachment 621947
====UPDATES
Baada ya Lazaro Nyalandu kumtembelea Tundu Lissu ameandika ujumbe huu.
MUNGU akuangazie NURU za USO wake na kukupa amani kaka yetu mpendwa [HASHTAG]#TunduLissu[/HASHTAG]. Akakuponye majeraha na maumivu yako na kukufanya Taifa kubwa. Kwa wote wanakuombea na kukupenda, ikawe heri kwao, na kwako iwe AMANI, UPONYAJI, na mafanikio. Utukufu ujao uwe Mkuu kuliko ule wa awali. [HASHTAG]#AmaniIweNawe[/HASHTAG] [HASHTAG]#MunguIbarikiTanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#LetLoveLead[/HASHTAG].
Hayuwa Wang'u?
Hayuwa Wang'u? Hayuwa! Bapanga Wang'u? Bapanga! Lakini sioni commonality yeyote: huyu ni blue-collar Lawyer yule ni white-collar thief. Huyu ana uraia pacha, yule ni Mnyaturu wa central Tanganyika hana pa kwenda. Huyu ni kipenzi cha mafisadi yule ni kiboko cha mafisadi. Huyu ni womaniser anatumia hela za umma kustarehesha wanamitindo huku yule ni mwadilifu hata mkewe ndiyo kwanza tunamuona ugonjwani. Ni nini kinawaunganisha? Kichwagongana.
 
Nyalandu anatumia ugonjwa wa Lisu kupata media attention; kama kawaida yake, misiba, wagonjwa na ajali.
Ungesaidia wewe wale watoto basi binadamu hamna jema mwenyewe mtaan kwenu tu hakuna anayekujua sembuse connection ya wazungu marekani....acha uduanzi mkuu...
 
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mhe Lazaro Nyalandu akiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi wanavyoonekana kwa tabasamu na misingi ya utu uliojengeka mioyoni mwao.
View attachment 621947
====UPDATES
Baada ya Lazaro Nyalandu kumtembelea Tundu Lissu ameandika ujumbe huu.
MUNGU akuangazie NURU za USO wake na kukupa amani kaka yetu mpendwa [HASHTAG]#TunduLissu[/HASHTAG]. Akakuponye majeraha na maumivu yako na kukufanya Taifa kubwa. Kwa wote wanakuombea na kukupenda, ikawe heri kwao, na kwako iwe AMANI, UPONYAJI, na mafanikio. Utukufu ujao uwe Mkuu kuliko ule wa awali. [HASHTAG]#AmaniIweNawe[/HASHTAG] [HASHTAG]#MunguIbarikiTanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#LetLoveLead[/HASHTAG].
Amen. Mungu ni mwema siku zote hajawahi kumwacha muhitaji bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom