Aliyekuwa Mbunge Lazaro akiwa na Mwanasheria Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi leo

Anawashwa washwa
Anajua kwenda huko nyie wafata mikumbo mtamfurahiaaaaa eeeeeh kawapataaaaa

Anachekelea mlivyimkubali kirahisi bila maswali yoyote kwa chama kinachojifunika shimoni..

Mliokaaa mnasuburia vyeo miaka tangu ya Slaa mnalo
 
  • Thanks
Reactions: Oii
...atakuwa keshamueleza waliotaka kumuua kwa kumpiga risasi nyumbani kwake Dodoma!
 
Anawashwa washwa
Anajua kwenda huko nyie wafata mikumbo mtamfurahiaaaaa eeeeeh kawapataaaaa

Anachekelea mlivyimkubali kirahisi bila maswali yoyote kwa chama kinachojifunika shimoni..

Mliokaaa mnasuburia vyeo miaka tangu ya Slaa mnalo
Coco hata wewe una chuki?! Aaah huu ni urithi wa shetani kwa taifa hili!!
 
Ila Mimi nafsi yangu inaniambia kunahitajika jicho la tatu tena kubwa zaidi linaloweza kuona mbaliii maana huwa wanasema a person with many friends has no true friends.
 
Back
Top Bottom