Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Liwale - CUF na kujiuzulu apita udiwani CCM bila kupingwa

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Watapata tabu sanaa....

Bwana Mtegite aliyekuwa diwani wa kata ya Kibutuka na makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Liwale kupitia CUF kisha kubwaga manyanga na kujiunga na CCM amepita bila kupingwa na sasa ni diwani mteule. Mgombea wa CUF alikosea kujaza fomu ya udiwani baada ya kuandika jina la mke wake. Alikimbia umande
 
Hii ndio ile style waliyosema chadema kuw NEC wanawapa form mamluki, ukienda kuchukua fomu unaambiwa zishachukuliwa.
Uchaguzi ukikaribia mamluki wanaunga mkono anabaki wa ccm.
Stupid play.

Hata ningekuwa mimi ndio JPM.
Haiwezekani tume ya uchaguzi niichague mimi halafu mni challenge. Ni kama kinyago ukichonge mwenyewe then kikuogopeshe.

So who is fool here?

Viongozi wana nguvu kuliko wananchi. Kwa kukubali kuendelea kuwa na katiba ya namna hii
Obviously wananchi ndio fools
Hutaki meza nanasi
 
Watapata tabu sanaa....bwana Mtegite aliyekuwa diwani wa kata ya kibutuka na makam mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya liwale kupitia CUF kisha kubwaga manyanga na kujiunga na CCM amepita bila kupingwa na sasa ni diwani mteule. Mgombea wa CUF alikosea kujaza fomu ya udiwani baada ya kuandika jina la mke wake. Alikimbia umande

Hakuna miujiza hapo kajikosesha mwenyewe nafasi na ajilaumu mwenyewe.
 
Kwa mujibu wa sheria Mgombea anaweza kuwekewa pingamizi au kupigwa chini kama ameshindwa kurejesha fomu siku ya uteuzi, amejitoa baada ya kuteuliwa au ameshindwa kutimiza masharti ya uteuzi ambayo ni ujazaji wa fomu za uteuzi kikamilifu na kutotimiza idadi ya wadhamini inayokubaliwa kisheria. Sasa vyama vinavyopeleka wagombea Kanjanja vijilaumu vyenyewe hakuna namna.
 
Watapata tabu sanaa....bwana Mtegite aliyekuwa diwani wa kata ya kibutuka na makam mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya liwale kupitia CUF kisha kubwaga manyanga na kujiunga na CCM amepita bila kupingwa na sasa ni diwani mteule. Mgombea wa CUF alikosea kujaza fomu ya udiwani baada ya kuandika jina la mke wake. Alikimbia umande
Basi mtu kaandika jina la my wife wake halafu atalalamikia Tume. Hahaaa
 
Te teh teh teh mgombea anampenda sana mkewe kaamua kubinafsisha hadi jina teh teh teh hatariiii
 
Hii ndio ile style waliyosema chadema kuw NEC wanawapa form mamluki, ukienda kuchukua fomu unaambiwa zishachukuliwa.
Uchaguzi ukikaribia mamluki wanaunga mkono anabaki wa ccm.
Stupid play.

Hata ningekuwa mimi ndio JPM.
Haiwezekani tume ya uchaguzi niichague mimi halafu mni challenge. Ni kama kinyago ukichonge mwenyewe then kikuogopeshe.

So who is fool here?

Viongozi wana nguvu kuliko wananchi. Kwa kukubali kuendelea kuwa na katiba ya namna hii
Obviously wananchi ndio fools
Hutaki meza nanasi

Unapingana na ukweli utapata taabu sana! Mwenzako kampenda sana mkewe teh teh teh teh limbwata limekolea hadi kapoteza network
 
Wapinzani ni mtihani aisee. Mtu hodari kuongea lakini hayuko smart kabisa yani. Ni suala la muda tu wa Tz wataelewa. Na kama hivi Chadema wanapigwa mpaka wanaamua kutukana Tume kwa sababu sera hawana, yani people's power inawapa taabu sanaaaaa. People's power it can work for or against you. People'ssssssss
 
CCM mmeshamaliza kula nyama za watu mliowatoa kafara sasa hivi mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwenye chaguzi mlizoachwa wenyewe mjisevie.
 
Kama amepita bila kupingwa hakuwa ma haja ya kukimbilia CCM.

Kuna tofauti kati ya
Kukimbilia na kuhamia, Vyama vya Siasa kama mitandao ya Simu tu leo Airtel kesho Halotel mtondogoo Voda next day Tgo!!! Ruksa kuhamia ilimradi tu Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Wapinzani ni mtihani aisee. Mtu hodari kuongea lakini hayuko smart kabisa yani. Ni suala la muda tu wa Tz wataelewa. Na kama hivi Chadema wanapigwa mpaka wanaamua kutukana Tume kwa sababu sera hawana, yani people's power inawapa taabu sanaaaaa. People's power it can work for or against you. People'ssssssss
Naona mabinti wengi mmevamia hili jukwaa kwa nguvu na comments zenu za kike
 
Kama alikimbia umande aliwezaje kuandika jina la my wife wake.

Michezo ya ccm mpya ya kichaa ni yakitoto sana.
michezo ya upinzani ndio ya kipumbavu. Yani kwamakusudi unakosea kujaza fomu au unachelewa kurudisha ili baadae upate namna ya kujenga chuki. Sasa kama hujui mission kuu ya upinzani ni kujenga chuki baina ya serikali na wananchi au chama tawala ili wapate kura za hasira kwa kuwa wao wameshindwa kujenga vyama vyao.
 
Back
Top Bottom