Aliyekuwa kocha wetu akiwa anaifundisha timu ya Taifa ya Mauritania

Kitimoto

JF-Expert Member
Aug 25, 2012
4,981
4,621
Mafanikio ya aliyekuwa kocha wetu wa Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara timu ya Simba SC akiwa anaifundisha timu ya Taifa ya Mauritania kwenye mashindano ya Afcon 2021.

Timu imecheza mechi 3,
Imefungwa mechi zote 3,
Imefungwa magoli 7,
haijafunga goli hata 1 na imeshika mkia kwenye kundi lake.

Screenshot_20220122-104605_FotMob.jpg


Screenshot_20220122-104554_FotMob.jpg
 
Hata Tom Saintfit alipita Yanga, na kwa sasa anaendelea kuonesha maajabu na timu ya Taifa dogo la Gambia! Na hata walipokutana Gambia vs Mauritania, Mauritania alipigwa!
 
Mauritania mpira wanaujulia wapi? wacheni majungu kocha mwenyewe kaikuta timu imeshafuzu AFCON .
 
Thom Saintfiet aliyekuwa wa Yanga namuona hapa kwenye last 16.Jamaa yenu ni kanjanja,ana elimu ya hapa na pale
 
Makolo wanaokotezaga makocha na wachezaji, wa Yanga timu imeingia mtoano
Wanaookoteza angalau mashindano ya CAF huwa wanajitahidi kufika hata robo fainali. Wasiookoteza hata hatua ya awali huwa hawakatizi . Ni kupigwa nje ndani .Sijui mwenye unafuu hapo ni nani?
 
Back
Top Bottom