Aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amefutwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Kwa ujumla hatuna uwezo wa mpira wa miguu. Kwenye ligi ambayo watu wanapanga nani awe bingwa hapo unategemea kuona uwezo wowote zaidi ya Majungu na fitina, huku wanasiasa wa wachovu wakitumia soka kusaka cheap popularity?
 
BREAKING NEWS : Aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amefutwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikiwa ni siku chache zimepita baada ya timu hiyo kutolewa hatua ya makundi kwenye fainali za AFCON

View attachment 1149241

MAONI YANGU KAMA BRITANICCA
Hapa wamefanya kosa kubwa sana kumuondoa Amunike kwa maana sisi hata kushiriki kwenyewe tulitegemea best looser yaaan Lethoto atoe draw ndo tupite,

Kwa kifupi uamzi huu haukuzingatia kuwa Kocha siyo tu anayepaswa kuwajibishwa kama ingekuwa kuwajibishwa,
Tuanze na wabunge, kamati ya uhamasishaji na mwenyekiti wake Makonda, kama tungeshinda sifa zingewaendea wao, ila kwakuwa tumeshindwa eti wamlaumu Amunike?

NI MPUUZI PEKEE ALIYETEGEMEA TAIFA STARS KUPENYA KWA MIAMBA ILE WAKATI MAANDALIZI YETU YAPO MDOMONI MWA MAKONDA NA MANARA,

Britanicca
Charity begins at home
 
Bongo watoto wengi wamedumaa zaidi ya 40% hasa kutokana na lishe na matunzo duni toka utotoni, kwa hiyo usitarajie hawa wakapata maendeleo mazuri katika ukuaji wao kujenga miili itakayohimili mikikimikiki ya soka. Tukae tu hapa tupige soga hakuna soka la maana linalochezwa hapa
 
Tatizo wa watanzania wengi ni kwamba wanafanya maamuzi kwa mhemko bila kuangalia kwamba kila jambo linataka maandalizi na sio ya mwaka mmoja wala miaka miwili. Hata nchi ambazo tunaziona kwamba nimifano na zina mafanikio basi hawakuyapata kwa muda mchahce kama wanavyofikiri bali kuna watu walijitolea sana kwa hali na mali katika kujenga na kutafikia hayo mafanikio. Ila kwa stahili hii ya maamuzi ya watanzania wengi nna hakika hata akija kocha gani duniani bado tutamfukuza na kumuona kama hajui mpira ilhali uwekezaji kwenye mpira bado haujapewa kipaumbele na hatuna wachezaji ambao wanacheza soka la kulipwa kiasi ambacho tunaweza kuwa tuna maufundi tofauti. Siasa iachwe kabisa kama sio kukoma kwenye taasisi zinazojishughulisha na vipaji kwani bila ya kupata kocha ambaye ataka na timu angalau miaka miwili kisha ndo tuanze tathmini ya malengo tuliyokuwa tumejiwekea kwa huyo kocha
 
Hii ni taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa.

Taarifa zinaonyesha kwamba kocha huyu ameiongoza Taifa Stars kwa mechi 10 na kufanikiwa kupata ushindi wa mechi mbili ikiwemo ile ya ujirani mwema dhidi ya Uganda , amepata sare mechi 2 na kufungwa mechi 6 .

More to follow .......
------6
Aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amefutwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikiwa ni siku chache zimepita baada ya timu hiyo kutolewa hatua ya makundi kwenye fainali za AFCON
Afadhali uzi umerudishwa... Haki imetendeka
 
Hii ni taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa.

Taarifa zinaonyesha kwamba kocha huyu ameiongoza Taifa Stars kwa mechi 10 na kufanikiwa kupata ushindi wa mechi mbili ikiwemo ile ya ujirani mwema dhidi ya Uganda , amepata sare mechi 2 na kufungwa mechi 6 .

More to follow .......
------

Aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amefutwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikiwa ni siku chache zimepita baada ya timu hiyo kutolewa hatua ya makundi kwenye fainali za AFCON
Kama hatuna uzoefu kwa kiwango cha kushindana kimataifa hata akija Morinyo sidhani kama atabadilisha mambo. Kwani ni kocha gani aliyeivusha hii timu kwenda kwenye hizo fainali
 
Back
Top Bottom