Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Bonde la Rufiji ahukumiwa miaka 14 jela

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Bonde la Rufiji (Rubada), Aloyce Masanja, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 14 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la wizi wa Shilingi Milioni 86.

Pia, mahakama hiyo imemuamuru mshtakiwa Masanja kulipa fidia ya Sh. milioni 86 kwa kampuni mbili za kilimo zilizoingiza fedha kwa mshitakiwa huyo.

Hukumu hiyo imesomwa leo Septemba 16, 2020 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustina Mmbando wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Bonde.jpg
 
Ni kifungo na fidia au maana huyo mzee atalipa ,ni MTU poa sanaaa na ana roho nzurii
 
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Bonde la Rufiji (Rubada), Aloyce Masanja, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 14 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la wizi wa Shilingi Milioni 86.

Pia, mahakama hiyo imemuamuru mshtakiwa Masanja kulipa fidia ya Sh. milioni 86 kwa kampuni mbili za kilimo zilizoingiza fedha kwa mshitakiwa huyo.

Hukumu hiyo imesomwa leo Septemba 16, 2020 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustina Mmbando wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Msukuma wa wapi huyu mwenyewe kuwadharirisha wasukuma akiwemo anko Jiwe
Kwa asili wasukusu sio wapiga dili, huenda Masanja kaoa mchaga
 
Aisee! Huyu ametamba kwa muda mrefu sana bonde la Rufiji (RUBADA) na amechelewesha maendeleo sana kwa miaka zaidi ya 10 akiwa huko na amekula fedha nyingi sana za watu na hakuna alilofanya. Alikuwa kama ka-mungu maeneo ya Ifakara. Kwa kweli mwisho wa uovu ni mfupi sasa naona haki ikitendeka safi sana.
 
Wasukuma ndio mafisadi wakubwa soma habari hii ujue ukweli wa mambo:

Steven Makigo ni Swahiba wa Rais John Pombe Magufuli... hawakukutana barabarani!! Hawa wamesoma pamoja Lake Secondary School.

Akiwa kama waziri wa ujenzi, mwaka 2012 JPM alimteua Steven Makigo kuwa Mjumbe wa TEMESA. TEMESA hii ni ile ile ambayo ilinunua boti kwa mabilioni ya pesa huku boti yenyewe ikiwa na speed sawa na mtumbwi!!

Ni boti ile ile ambayo, ili kuwakata watu midomo wasiijadili, JPM yule yule akaipeleka boti hiyo jeshini! Yaani, Jeshi linapewa boti yenyewe mwendo wa kinyonga!!!

REMEMBER: Zabuni ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato iliweka sharti kwamba Contractor LAZIMA awe ni wa Kanda ya Ziwa!!

Yaani "National Project" inaweka condition ya ku-eliminate Watanzania wengine!!!!

Tena hapa tukumbushane kwamba, hiyo ni aina moja wapo ya Grand Corruption! YES, I mean it... a type of the GRAND CORRUPTION ambayo kwa makusudi watu wanaweka baseless conditions only to eliminate other competitors in favor of their guy!!!

SO, Kuna atakayeshangaa tukisema Mradi wa ujenzi wa Chato International Airport uliletwa maalumu ili tenda apewe Mayanga Construction Ltd, and ONLY Mayanga?!

Halafu ngoja, nimekumbuka!!

Hivi mnakumbuka JPM enzi zake akiwa Waziri wa Ujenzi akaja na "Wakandarasi Wazalendo"?!

Hoja tamu kweli kweli ambayo mtu ukiitia doa utaonekana unapingana na mtu anayekusudia kuwainua Wakandarasi Wazalendo lakini ukweli ni kwamba hiyo ilikuwa ni janja janja nyingine ya kui-favor Mayanga Construction!!

Wakati Wizara ya Ujenzi chini ya Magu ilipokuwa na mpango wa kujenga Daraja la Mbutu, Magu alijua kabisa Mayanga hatakuwa na ubavu wa kushindana na kampuni za kigeni na ndipo likaja suala la Wakandarasi Wazalendo, na Mayanga Construction akala shavu akiwa na "wazalendo" wengine!!
 
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Bonde la Rufiji (Rubada), Aloyce Masanja, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 14 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la wizi wa Shilingi Milioni 86.
Pole baba, wenzako walioendesha tenda ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji walisamehewa hata kabla kesi haijaenda mahakamani, kisha wakateuliwa!
 
Aisee! Huyu ametamba kwa muda mrefu sana bonde la Rufiji (RUBADA) na amechelewesha maendeleo sana kwa miaka zaidi ya 10 akiwa huko na amekula fedha nyingi sana za watu na hakuna alilofanya. Alikuwa kama ka-mungu maeneo ya Ifakara. Kwa kweli mwisho wa uovu ni mfupi sasa naona haki ikitendeka safi sana.
Ulichokiongea ni sahihi, namfahamu vizuri aliwahi kuwa bosi wangu
 
Back
Top Bottom