Aliyekuwa diwani wa CHADEMA asema ndani ya CHADEMA kuna mgogoro, amuonya Mashinji viatu vya Slaa havimtoshi

Chama kikuu cha upinzani kudumu robo karne bila kushika dola ni sawa na mwanamke aliyefikia menopause bila kupata mtoto.
 
Wasiwasi wake wa nini si ameshaenda ponapo mtosha viatu ya huku atuachie tu au anataka kwenda Canada afuate viatu bac sawa
 
hii track ya madiwani kuhama tuifanye zilipendwa, tufanye kazi sasa. Maana waliahidi kuunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali, watimize ahadi yao sasa kwa kufanya kazi, na madhaifu ya chadema wawaachie wao wenyewe.
 
Ni kwa nini mnamlinganisha Slaa na Mashinji lakini, Slaa si alijitoa mwenyewe cdm!?
 
Ccm bhana chama cha maulaji
Nimeoteshwa na jamuhuri ya Zimbabwe wote wanaohamia CCM ni wapelelezi wetu
 
Back
Top Bottom