Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

Status
Not open for further replies.
Hivyo anavyoonekana anafaa uenyekiti wa UWT Arusha. Mashangingi wa aina yake wako huku UWT.
 
Lema hakumdhalilisha, ccm ndio atadhalilishwa kuliko siye watu wa bara tumdalilishavyo samaki!! Hatuchagui upi mnofu, mbavu, jicho, mkia, mpaka kichwa cha samaki twala!

We mtu wa pwani cacico mbona unaongea kwa mafumbo?
 
Last edited by a moderator:
mbona anaonekana kama mama yake mdogo na Lema?Vitus vya Arusha kweli kamanda usitutie aibu hebu jitokeze angalau ukanushe tutakuelewa
 
Huyu si alitimuliwa pamoja na wenzie kina rasta na na ngowi?kwa hiyoooooooo!? Ana maanisha hata mzee ngowi,rasta na wale wanaume wengine wawili lema alitaka kuwala wakakataa? Kweli ugali mtamu!!hadi machozi yanamtoka kwa kukumbukia tonge lililodondoka toka kinywani,akafie huko!!msaliti wa wananchi.
 
Kaishiwa na seraaaaa ameshakufaaaa kisiasaaa ngojaaaa akaaibikeee ccm etiii diwaniiii yeyeee mwenyewe kafanya kuteuliwaaa asubiliiii kupoteaaaaa tuuuu huyuuu bibi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom