Kyamkwikwi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 441
- 146
Si unajua CDM jina kubwa ukitangaza tu kugombea kupitia CDM hata kama una kichwa cha ndimu wewe kura umepata hadi utazikataa na hapo CDM inabidi ipaangalie sana maana inaweza kukuta tunakuwa na watu wa ovyo kwenye safu za uongozi na wakawa mzigo kwa wananchi. Ebu we fikiria hata kwa akili ya kawaida ni mwanamke gani mwenye busra na akili timamu anaweza kusimama jukwaani na kushika kipaza sauti akijitangaza kwamba alitongozwa na fulani, hata changudoa hawezi kufanya upuu.zi wa kiji.ga namna hiyo.
aisee nimecheka sana.
Huyu mama kitumbua kimeingia mchanga kutokana na tamaa zake sasa ameamua kujivua utu na kujidhalilisha mbele ya wananchi.
Kwa kweli siasa si mchezo wa kuuvagaa kichwa kichwa.
pole sana mama, siasa achana nazo kabisaaa.