Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

Status
Not open for further replies.
Mkuu unataka hoja gani tena zaidi ya hii mama katoa angalizo kwa kina mama wenzake wawe makini na viongozi wa Chadema kwa tabia chafu.

hamna lolote ww! Hiyo ni michongo tu ya kuidhoofisha cdm! Ni PROPAGANDA TU WALA HAZIUMIZI AKILI!!!!!!
 
huyo mama amekula mkwanja tu hana llt! Na kama ni suala la uzinzi huko alikoenda ndio atagongeka mpk bac! Hizo ni akili mnato tu!
 
Hahahahah wewe ukiamua kuondoka unaondoka kama ulivyoingia. Maswala fulani alinitaka yanatoka wapi? Kilichokutoq ulikokuwepo mwanzo ni nini? Hahaha yatakushinda nako utahamia wapi?
 
Mh, mama huyu anaonekana ana uchungu sana. Angalia anavyobubujika machozi. Wale mliokaribu nae hakikisheni anapata ushauri wa kisaikologia. Pia akifanyiwa maombi aondoe uchungu ili afanikiwe ktk maisha Yake. Uchungu unafunga milango ya baraka.

Pia nadhani bado anaipenda Chadema, amehama kwa ajili ya hasira, na alikosa washauri wazuri. Ukiona mume anaandika talaka huku analia ujue bado anampenda mkewe, ni mashinikizo tu ndio yanawatenga. Siku akiomba kurudi Chadema nyie watu msimuhukumu.

Mungu akusaidie dada yangu. Siasa siku zote inahitaji uvumilivu, Kama huna mwenzangu huko hakukufai, utalizwa kila siku, tena ukilia watakwambia umezoea.

Queen Esther
 
Mama ninaona una pete ya uchumba na siyo ya ndoa. Vipi mchumba hajambo!
Karibu chamani, huku pia wapo akina Mwi ....gu...lu, vipi akiomba utampa? Na vipi siku uhihamia TLP utatujuzu ngono umefanya na nani kwa maslahi yako binafsi ya kisiasa ndani ya hicho chama chetu au utakula jiwe.

Akina mama mpuuzeni huyu, jiunge na chama roho yako inapenda, hizi siasa uchwara, siasa za kuchumia tumbo, uzushi na maseng'enyo hazina faida kwa mtz wa sasa.
 
Mapenzi ? kuna ubaya gani kuombwa mapenzi, ina Lema au Dr ni wa kwanza kukuomba kimapenzi ? Hujawahi kumpa mtu mapenzi ? Kama nikuombwa ni hiari yako kukubali au kukataa. Ubaya ni kubakwa. Au wajamii mnasemaje ?
 
na sisi hatuwezi kuipangia CCM siku ya kuokota mizoga ya chadema. CCM inafurahia kuokota mzoga wa chadema kweli ccm imekwisha.

mhh na bado Kwa hiyo. huyo mwanamama kusema ukweli. keshakua mzoga????? Hiii. jamiii forum huwaga mnanipa birudani
 
nngu007 "zuzu ni mtu aliyefilisika kufikiri,

nilikuwa mkutanoni, hakuna maneno kama haya yaliyotamkwa,

namnukuu Rehema "NIMEIPIGANIA CHADEMA KWA PESA ZANGU HADI KAZI NIKAFUKUZWA, LAKINI MATOKEO YAKE NIMEAMBULIA KWENDA JELA"

my take.

CHADEMA HATUTAKI MZAHA NA UTU WA WATANZANIA, UKIPEWA DHAMANA HESHIMU NA SIYO KUFANYA MASIHARA.

Kwahiyo CHADEMA ilimchagua yeye na wenzake 4 kuwafukuza kutoka kwenye CHAMA bila SABABU KWELI? Sasa kwanini Mahakama inawataka wailipe CHADEMA sh. Millioni 15? kama kweli hakuna KOSA?

Ubaya nchini kwetu TUNATUMIA SIASA kama ndio AJIRA bora inayoweka CHAKULA cha FAMILIA MEZANI
 
Yeye ndiye anayejigawa bure ili apate umaarufu wa siasa. Huko CCM hawatamtaka kimapenzi? Kweli Danganyika iko kazi!
 
Habari! Nimeangalia rehema akilia kilio cha uongo na uroho wa madaraka sasa nenda huko utakutana na Nchemba na Nape watakumimba na mkorogo wako huo, Wewe mtu mzima ulikuwa wapi kusema hayo hata kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM pale ulipokuwa unajitetea ili usamehewe.

CDM for LIFE!
 
Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo.

Alieleza sababu kubwa za yeye kukosana na viongozi wake ni kukataa kudhalilishwa kijinsia na aliekuwa mbunge wa jimbo la arusha mjini GODBLESS LEMA.



6.-Aliyekuwa-diwani-wa-Chadema-Rehema-Mohammed-ambaye-amehamia-CCM-akibubujikwa-machozi-jukwaani-wakati-akitangaza-kuhamia-CCM-wakati-wa-mkutano-huo.jpg
 
Lema hakumdhalilisha, ccm ndio atadhalilishwa kuliko siye watu wa bara tumdalilishavyo samaki!! Hatuchagui upi mnofu, mbavu, jicho, mkia, mpaka kichwa cha samaki twala!
 
sasa si angemshtaki?...au ndo wanatafuta kesi ya kubandika,kabla hii nyingine haijaisha?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom