Aliyekuwa Diwani kata ya Kahororo (CCM) Bukoba ajiunga na CHADEMA

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Diwani machachali anayejulikana kwa jina la Chief, aliyepata umaarufu baada ya kuwashtaki madiwani wenzake 6 na kusababisha wafukuzwe udiwani, ameamua kujiunga na CHADEMA baada ya jina lake kukatwa japokuwa alishinda.

Ikumbukwe kuwa wakati wa mgogoro kati ya Kagasheki na Meya Amani, Chief alikuwa upande wa Amani, hivyo yeye anaamini kuwa kahujumiwa na Kagasheki ili jina lake likatwe japokuwa ameshinda.

Diwani huyo anasema anakubalika sana na anaamini atashinda kiti hicho kwa kugombea kupitia CHADEMA. Kwa sasa yupo anaelekezwa chama kinafanyaje kazi ili hatimaye sherehe za kumpokea ziweze kufanyika kesho.

Pia amesema kauli ya wale wanaochujwa kuitwa Makapi hajaipenda.
 
Pia amesema kauli ya wale wanaochujwa kuitwa Makapi hajaipenda.

Huyu Chief Kalumuna akubali tu kwamba naye ni makapi vinginevyo asingeshindwa kuelewana na wenzaka. Na wasijifanye wao ni wasafi kwa vile wamejivua magamaba.

Tahadharini UKAWA na wale wanaongojea kukatwa ndio wakimbilie cdm? Walikuwa wapi siku zote?
 
...mkuu mambo mengine baadae kwanza lengo kuu la kukusanya kila kura ya mpinzani iwe yetu hasa za wanzachama wa ccm maana hizo ndo most likely zitaangukia kwa mapadlock....
 
Huyu Chief Kalumuna akubali tu kwamba naye ni makapi vinginevyo asingeshindwa kuelewana na wenzaka. Na wasijifanye wao ni wasafi kwa vile wamejivua magamaba.

Tahadharini UKAWA na wale wanaongojea kukatwa ndio wakimbilie cdm? Walikuwa wapi siku zote?

Sababu nyingine ya kukatwa ni kuwa anaungana sana na wapinzani hasa cdm katika vikao na maamuzi hivyo kuwapa wakati mgumu chama tawala.
 
Lowasa ananunua watu-ana pesa ya kununua nchi basi bora anunue tu kama ana fweza kiasi hicho-ccm wana tshirt za kutosha watanzania wa leo na watakaozaliwa miaka kumi ijayo -watu hawazitaki
 
By Induction...Diwani Chief Kalumuna anaenda kuongeza chachu ya ushindi mkubwa kwa Ukawa hapo bukoba mjini, hii ni kutokana na kukubalika kwake.
 
Hongera zake kwasababu ni msafi, tukichukua wa hivi sina tatizo ila kuwaleta mafisadi kuhamia CDM siwezi kuwaelewa na hii inanifanya kuwapiga chini upande wa urais
 
Back
Top Bottom