Aliyekuwa babaake Kim Kardashian Bruce sasa Caitlyn Jenner akijipodoa.Toa maoni yako

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
11659374_1014732421878756_2476991585505481751_n.jpg
 
Mi naomba kuuliza
Huyu jamaa kajibadili muonekano tu au mpaka maumbile yake ya kiume kafanya upasuaji na kuweka ya kike?
 
Sasa aliyekuwa baake au ni babaake Kim Kardashian? Kujipodoa hakumfanyi huyu mzee kuwa mama.
 
Nikiwa naangalia TV wakianza kumuongelea huyu nahamia channel nyingine, sitaki kabisa kumsikia.
 
Back
Top Bottom