Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,007
- 9,873
Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali
Pumzika mwalimu
Pumzika mwalimu
mwengesoAliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali
Pumzika mwalimu
View attachment 1433165
View attachment 1433166
View attachment 1433169
Sijawahi ona serikali mbovu na ya kishetani hivi.Dunia inapambana na corona, wengine tunapambana na tatizo la upumuaji.
Mungu tupe ujasiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu serikali ya awamu ya tano inajali maiti.Hivi ni kwa nini Serikali inazika watu kwa niaba ya wana ndugu wa marehemu? Jee serikali imetenga fedha kwa ajili ya shughuli hiyo?
Sijui Kuna Siri gani kati ya vibopa na corona.Duu...mbona inapita na vigogo tu
Vigogo ndo wanatangazwa
Kama unamaanisha haya bila shaka wewe ni mmoja wa misukule ya jiwe.Tanzania 🇹🇿 hamna Corona, hamna maambukizi mapya, na watu hawafi Tena. Shule na vyuo vifungue maisha yaanze upya