Aliyekua Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa na Onesmo Nangole Wafika Hospitalini Nairobi

Kuwa watu wakiona Lissu ana smile tena wanatamani kutafuna moto kwa hasira. Sasa kwa taarifa yenu mliyetaka awe kaburini he is back smilling.
 
3dcddfc83926222eaf57bfb61ea87b61.jpg
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mhe. Edward Lowassa akiongozana na Mke wake Mama Regina Lowassa, leo walifika Hospitali ya Nairobi kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Antiphas Lissu ambaye anapatiwa matibabu nchini humo.
haa haa binadam bana leo lissu anasheki mkono na fisadi na tabasam .hakika hujafa hujaumbika
 
Back
Top Bottom