Aliyekua Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa na Onesmo Nangole Wafika Hospitalini Nairobi

Mnoo kwa yale matusi ya Lissu hata ningekuwa mimi nisingeweza
Nadhani pia haikuwa sahihi lowasa kwenda kumwona lisu ,anaweza weweseka Sana usiku hawaivi Na lowasa ndio maana hata siku lowasa alipokelewa kuteuliwa mgombea tundu alisusa hakwenda pale ukumbini mlimani City.
 
Huyu babu pamoja na kwamba simkubali kabisa ktk siasa zake lkn ana roho nzuri sana, anajua kusamehe mnoo yaani pamoja na matusi ya Lissu kwake kipindi kile lkn bado ameona kumtembelea ni jukum lake, Lissu sijui huwa anajisikiaje

Ukimfananisha na mzalendo academia inakuwaje?
 
Eti km mwanzo!Huko mwanzo alikuwa na mavidonda yakinuka!
Nafuu ambaye ananuka vidonda kwa sababu ya maumivu ya kusababishiwa na watu washenzi kama wewe, kuliko wewe unayenuka Tigo yako inayovuja MAVI kwa sababu tu ya kutaka mambo ya bure na kuendekeza ujinga wa kike.
 
Opposition in Tanzania is such so empty that they have made Lissu and his calamity as their sole agenda for putting the government in power on a pedestal.

If they are that genuine they should have contributed the money they spend to travel to Nairobi, towards the cost of Lissu’s medical expenditure, lakini hawawezi fanya hivyo kwani kwao ni lazima watafute Sifa wakionekana wanahuruma na wanampenda huyo mgonjwa na wapigenae mapicha na kuyarusha mitandaoni. Si ajabu baadhi Yao wana ndugu zao wagonjwa mahututi lakini hawawasaidi hata senti moja, lakini kwa hizi safari za kwa Lissu wanatumia mamilioni ya shillingi. Hawa ni wanafiki na malaya wa kisiasa
 
Safi sana,lakini kuna mijitu haipendi.
Lowasa kaenda Kenya kuonana Na Kenyatta kuhusiana Na uchaguzi wa tarehe 26 Oct hapo kapita kuwazuga wakenya waone kama kaenda kumwona Lisu.Anyway Lowasa aache kuingilia Mambo Ya siasa Za Kenya hasa kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom