Aliyehukumiwa kifo kwa kuukana Uislam ajifungua akiwa jela

Status
Not open for further replies.

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
11,318
2,000
CNN) - A Sudanese woman sentenced to die for refusing to renounce her Christianity has given birth to a girl in prison, her lawyers said Tuesday.


Meriam Yehya Ibrahim, 27, delivered her baby Monday at a women's prison in Khartoum, but her husband was not allowed to be present for the birth, sources told CNN. They asked not to be named for safety reasons.

Ibrahim was convicted of apostasy, or the renunciation of faith, about two weeks ago while she was eight months pregnant.

A Sudanese lawyer filed an appeal last week to reverse the verdict by the lower court.

She is in prison with her 20-month-old son, but Sudanese officials have said the toddler is free to leave any time, according to her lawyer, Mohamed Jar Elnabi.

Her husband, Daniel Wani, is a U.S. citizen who uses a wheelchair and "totally depends on her for all details of his life," her lawyer said.

The appeal

The appeals court in Khartoum will issue a ruling on the case in the next week, but it will first ask the lower court to submit the documents it used to make the ruling, according to her lawyer.

Once that's done, it will issue a case number, he said.

"We will continue checking with the appeals court, but Inshallah (Allah willing) ... the appeals court will reverse the sentence and set her free," he said.

 

musami

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
1,432
1,500
Meriam Yehya Ibrahim Ishag Mwanamke wa Kisudan aliyehukumiwa adhabu ya kifo na kuchapwa bakora 100 kwa kosa la kuolewa na Mkristo,amejifungua mtoto wa kike akiwa gerezani,ameruhusiwa kumnyonyesha mtoto wake kwa miaka miwili,ndipo hiyo adhabu itakapotekelezwa.Ama kweli kuna imani za ajabu duniani!!(chanzo BBC)
 

Ablessed

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
4,618
2,000
Hivi hakuna namna ya kumuokoa huyo mama kweli, imani zingine ni ngumu mno
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,157
2,000

Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuasi dini

Mwanamke aliyeasi dini nchini Sudan na kupata adhabu ya kifo amejifungua mtoto mvulana akiwa jela mjini Khartoum kwa mujibu wa wakili wake.
Meriam Yehya Ibrahim Ishag, aliolewa na mwanamume mkristo jambo lililopelekea mwanamke huyo kuhukumiwa kifo mapema mwezi huu baada ya kukataa kusilimu tena.
Ataruhusiwa kumnyonyesha mtoto wake kwa miaka miwili kabla ya hukumu kutekelezwa.
Meriam aliyezaliwa na wazazi waisilamu, alihukumiwa na mahakama ya ya kiisilamu.
'Mijeledi miamoja'
Bi Ibrahim alihukumiwa kifo kwa kosa la zinaa kwa sababu ameolewa na mwanamume mkristo wa kutoka Sudan Kusini na kwamba ndoa yao haikubaliki chini ya sheria ya kiisilamu ambayo inasema kuwa mwanamke musilamu hawezi kuolewa na mwanamume mkristo.
Kwa kosa hilo, jaji alimuhukumu adhabu ya mijeledi miamoja, adhabub ambayo itatelezwa pindi mama huyo atakapopata nafuu kutokana na kujifungua.
Bi Ibrahim alilelewa kwa njia ya kikristo , dini ya mamake kwa sababu babake aliyekuwa muisilamu hakuwepo katika maisha yake tangu utotoni.
Kwa mujibu wa shirika la kimataifa la Amnesty International, alikamatwa na kushitakiwa kwa kosa la Zinaa mwezi Agosti mwaka 2013, na mahakama ikamuongezea kosa la kuasi dini Februari 2014 aliposema kuwa yeye ni mkristo wala sio muisilamu.
Sudan ina idadi kubwa ya waisilamu ambao wanafuata sheria za kiisilamu.Chanzo: BBC
 

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
15,931
2,000
Kama Yesu alivyotupenda hadi kutoa uhai wake....huyo mama anatimiliza upendo wake wa dhati kwa Kristo kiasi cha kuamua kukubali kifo kuliko kumkana Kristo......je mimi na wewe (kama Wakristo) twaweza?
 

kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,325
2,000
Kama Yesu alivyotupenda hadi kutoa uhai wake....huyo mama anatimiliza upendo wake wa dhati kwa Kristo kiasi cha kuamua kukubali kifo kuliko kumkana Kristo......je mimi na wewe (kama Wakristo) twaweza?

Kristo aliwaelekeza kufanya uzinzi?..basi sawa!..endeleeni kuweza kuzini
 

kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,325
2,000
Meriam Yehya Ibrahim Ishag Mwanamke wa Kisudan aliyehukumiwa adhabu ya kifo na kuchapwa bakora 100 kwa kosa la kuolewa na Mkristo,amejifungua mtoto wa kike akiwa gerezani,ameruhusiwa kumnyonyesha mtoto wake kwa miaka miwili,ndipo hiyo adhabu itakapotekelezwa.Ama kweli kuna imani za ajabu duniani!!(chanzo BBC)

Huyo mtoto aliyezaliwa ndio wazungu wanaita son of the bit.ch!
 

stwita

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,343
1,500
Kristo aliwaelekeza kufanya uzinzi?..basi sawa!..endeleeni kuweza kuzini


Ana zini na mume wake wa ndoa? Seriously!?
 

concrete15

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
882
170
Kristo aliwaelekeza kufanya uzinzi?..basi sawa!..endeleeni kuweza kuzini


Ana zini na mume wake wa ndoa? Seriously!?

ona sasa kichwa kimejaaa mavi badala ya ubongo changia mada ni sahihi huyo dada kufanyiwa hivyo, na je kumlazimisha kuingia uislam ndo ataingia peponi, jaribu kusafisha akili yako kidooooga iwe na chembe ya ubongo then think. peponi mtu haendi kwa viboko na mtashangaa huyu mama kufa ndo waislamu wengi wataona they are wrong na kuhamia kwenye ukristo au dini nyingine hata kuwa wapagani
 

concrete15

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
882
170
huyo mama akikubali kufa atawekwa kundi moja na kina Stephano, shedrack,meshaki na abernego ambao walikubali kufa bila kuikana imani yao na kusababisha ukristo uzidi kuenea duniani
 

Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,422
2,000
Kristo aliwaelekeza kufanya uzinzi?..basi sawa!..endeleeni kuweza kuzini

kweli we kalagabaho umeambiwa huyo mwanamke alifanya uzinzi? Wakati alifunga ndoa halali na bwana Daniel. Wanawake wanao jitambua mbona wanabadilika mkuu. Wamebaki wanaume walio ahidiwa pepo ya mabikira 72 hapo wanawake wengne imekula kwao
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom