Aliyehitimu masomo ya Philosophy

May 28, 2020
99
124
Habari,

Najua kuna vyuo vichache vinavyofundisha kozi hii achilia mbali institutes za kidini (seminaries)

Sasa hawa watu wanapokuja mtaani wanaomba/fanya kazi gani maofisini? (Government & NGO)

Naomba kufahamishwa.
 
Tulia Wewe
Wanakuja Wataalam Kukujuza Kuhusu Hao Watu Watafanyia Kazi Wapi
 
"Any philosophy is worthless unless there is an attempt to analyse real one's life under a microscope."


Jesus is Lord.
 
Philosophy is multidisciplinary waalimu kakt taluma yao Wana falsafa zao ,wanasayansi,wanasheria,madaktari so Kila mtu ananamna anavoitumia
 
Back
Top Bottom