Aliyehama Chadema hawataadharisha Watanzania kuwa mbali na Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyehama Chadema hawataadharisha Watanzania kuwa mbali na Chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ritz, Aug 13, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Iramba mkoani Singinda, Emmanuel Ntundu, amewataka Watanzania kutoshabikia sera ya nguvu ya umma na kwamba, itaitumbukiza nchi kwenye machafuko makubwa yatakayohatarisha amani na utulivu.
  Alisema malengo ya sera hiyo ni kuwajaza watu hamasa hasa vijana, kuamini kuwa wana nguvu kuliko dola.
  Ntundu alisema sera hiyo ambayo inatumiwa na Chadema hivi sasa ni hatari na kwamba, ilitumika kuingiza madarakani Chama cha Conservative nchini Uingereza. Ghasia na uporaji uliofanyika hivi karibuni nchini Uingereza, ni matunda ya nguvu ya umma.

  SOURCE: MWANANCHI AGOSTI 13 2011
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  Hata hapo pia bado ni karibu sana,
  Sogea zaidi ya uhapo kwa umbali wa
  hizo mita x hizo mita
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  JF Hate Preacher

  njaa husababisha upuuzi

  unahangaika sana na CDM .... roho inakuuma sana .... pasuka na jinyonge


  CDM is prospering
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  And you believe this guy on this?
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Latifa, na Bange usababisha Wehu
   
 6. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu habari,
  haya Ma ID meeeeengi, yote kwa ajili ya CDM?
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia kwa makini maneno ya huyu aliyehama CDM yana ukweli mtupu.
  Tumemsikia Mwenyekiti wa CDM. Mbowe kawambia wanachama wake mwezi ujao wataitisha maandamao kwenda kuvamia Ofisi za Manispaa ya Arusha
   
 8. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  CCM na wao eti wanamuamini, hawa ni vigeugeu kama alikuwa upinzani akikandia sera zao lao karudi za kule alipokuwepo zimekuwa mbaya, ningekuwa na uwezo hawa vinyonga wa kisiasa ni ban za maisha kujihusisha na chama chochote...
   
 9. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo hapatoshi fanya X zote unazo vuta na kutoa pumzi!!!!!!!!!!!!! Makamanda wa ukweli Hatuvunjiki moyo
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mti wenye matunda hupigwa mawe.
  huyo jamaa alishawahi kutangaza miaka ya nyuma kuwa amerudi ccm kutoka chadema.na baada ya muda kwa kuwa mkoa wa singida haukuwa na uongozi wa chadema baadae akajitangaza kuwa kiongozi wa cdm singida wao na jamaa mmoja anaitwa nakamia.
  naomba nyie wazushi muwaulize walichaguliwa na nani?
  huyu jamaa tunaomfaham tunajua akilia zake yhaziko sawa,akikaa baada ya muda utamsikia yuko chadema mara ccm.kadi za ccm anazo kama tano na cdm hivyohivyo huyu ni mchumia tumbo.
  singida chama cha chadema kina watu kama kumi tu na si zaidi ta hapo na hatujaweka kiongozi yeyote kuwakilisha mkoa wa singida kwani tunajua ni mkoa wa mwisho katika harakati zozote ziwe za ki9siasa au za kimaendeleo.
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kweli CCM ni Chama kizuri sana na kinaleta AMANI na FURAHA TELE :)

  Kwa nini uende vyama vingine vinavyodai mtu uwe makini na uchape kazi? Kama Giza na kukosa mafuta, siyo Big deal na tutatembea kwa miguu. Tukipata Mimba ni poa tu kwani ku-NgonoA si raha jamani? Utamuuuuuu, Urodaaaaa. Mimba tukipata, si kosa letu kwani Kiherehere unazaliwa nacho au hujazaliwa nacho. Ni makosa ya DNA zetu.
  [​IMG]

  [​IMG]
  kwa mwendo huu wa hawa watoto... kweli mimba ni viherehere vyao... muda wa shule wao wanakata viuno
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  LIKE FATHER LIKE DAUGHTER! YEYE MWENYE KUSEMA WATOTO WANAKIHEREHERE YE ANAO WAKINADADA WANGAPI WA NDOA NA RESERVE?! atoe kwanza boriti lake!!!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Je magamba uko nao mita ngapi?
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  rizt, vipi maoni ya wale wanaohama ccm kwenda CHADEMA wanasemaje? kwa mfano Dr Slaa alihama ccm! pata maoni yake juu ya mkorogo ndani ndani ya ccm. Au nenda kwa Rostam Azizi na madai ya siasa uchwara.
   
 15. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Nilikuwepo tangu 1995 wakati wa kampeni when I was under 18yrs, CCM ndo siasa zetu za kuwatisha watu kuingizwa vitani! na watu wa Tabora, Singida, shy, mwanza wakitishwa vita basi wanaogopa wanaamua kuwapa kura, najua yote hayo ni kwa sababu ya igunga.

  Yana mwisho, mtakuja mkubali tu wakati ukarabati utakapofanyika, watu wanaelewa kidogo kidogo!! And we are documenting everything you do in rapping the democratic process, so you better change now siyo kusubiri mkiwa wazee mfikishwa mahakamani, hamtachomoka.
   
 16. o

  obseva JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 80
  Mwenye macho haambiwi tazama!! maana kwa kauli zao na matendo yao mtawatambua.
   
 17. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  sifuati ushauri wa watu wehu hata siku moja, wanaotumia masaburi kufikiri!
   
 18. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  .

  kwa hiyo tukae kimya tuvumilie huu ushenzi wa kikwete na hao mashoga zake, eti kisa unaogopa fujo, PAMBAFU kweli, SAWA wazo zuri, Hao waliotoka CDM kwa kuwa ni nguvu ya uma, kwahiyo wameenda CCM nguvu ya pesa, Du, sijui wamewasajili kwa dau gani hao, hamna shida nikipindi cha usajili, kitapita.
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Lolololo kazi ipo kujikomboa waTZ
   
Loading...