Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Kama kafa atakuwa kapata bahati, Bima watalipa

Kama kaumia atapata tabu sana lazima alipe.

Katika udereva wako lazima ujue vitu vinne ambavyo havijawahi kugonga mtu/gari nyingine

1. Msafara wa kiongozi
2. Ambulance
3. Wanyama wakiwa mbugani
4. Treni

Hao wote ni wewe unawagonga, sio wao wanakugonga

Kwa pale mbugani lazima alipe na gharama ya kusafisha, kwa hiyo inaweza kutoka hata milioni 40
Ah ah hatari sana
 
Ndiyo. lakini hata kwenye hifadhi unaweza kuwa makini na ajali bado ikatokea. Mnyama ni mnyama.
We unasema Mnyama ni mnyama??

Ndani ya hifadhi hata ukipata ajali tu sio ya kugonga tuseme upinduke au gari imechochora lazima ulipie majani yote uliyokanyaga au miti uliyovunja laki 2. Yaaani pona pona yako gari ianguke ibaki katikati ya barabara labda watakuhurumia

Ndo sheria zetu hizo. Hifadhi zinalindwa sana sema madereva wengi hawajui hilo

Screenshot_20210313-162931.png
 
Dereva bora angesalia kwenye gari hii kukimbia mbugani waweza Kutana na kundi la simba wenye njaa!
 
Jeshi letu la polisi muda mwingine...

Hajapatikana vipi, sii watumie plate number kufanya msako kupitia kwenye mamlaka...
 
We unasema Mnyama ni mnyama??

Ndani ya hifadhi hata ukipata ajali tu sio ya kugonga tuseme upinduke au gari imechochora lazima ulipie majani yote uliyokanyaga au miti uliyovunja laki 2. Yaaani pona pona yako gari ianguke ibaki katikati ya barabara labda watakuhurumia

Ndo sheria zetu hizo. Hifadhi zinalindwa sana sema madereva wengi hawajui hilo

View attachment 1724594
Kwa hyo kugonga twiga napo ni 15000 USD

Yaani million 34,785,000.00 Tanzanian Shilling

Bora kukimbia tu
 
Back
Top Bottom