Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Bongo nyoso sana. Mafinger print yote mliotuandikisha, mavitambulisho lukuki, Tin Number tra zipo, usajili wa gari hauwezi kukurudia kumpelekea ujue mmiliki wa gari kisha uanzie hapo uchunguzi?

After all mbona hampo concerned kuhusu hali ya huyo dereva/mmiliki kwa hio condition ya gari iliopo? Kama yu mahtuti ama kafariki mtafanyaje?
Taarifa nilizopata ni vijana walichukua gari ya mzee wao kutoka Bunda kwenda kula Bata ndiyo yakawakuta hivyo ila sina uhakika
 
Back
Top Bottom