Aliyefuta wimbo wa Cheche ajulikana

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,554
18,876
Hivi karibuni kuna mtu anaijiita Tony Anton alifuta ngoma ya Cheche na akaifanya isipatikane YouTube kwa siku mbili, baada ya huo mkasa kutokea uongozi wa WCB kwenye department ya digital platform ikiongozwa na kimkayndo wakalishughulikia hilo jambo na kugundua kuwa aliyofanya hivyo jina halisi ni James na si Tony kama anavyojiita kwenye mitandao ya kijamii na huyo kijana anapatikana Kenya kwenye sehemu inaitwa kiisie.

Na hii imekuja kujilikana ni baada ya WCB kushirikiana na Mamlaka ya Kenya. Na kabla huyo James ajajulikana alimtumia ujumbe Kimkayndo ambaye anahusika na digital platform za Wasafi kama wanataka ngoma wafanye biashara kwanza.

Ajajulikana huyo James kafanya vile kwa sababu zipi?Baada ya mahojiano yake na polisi wa Kenya yote yatajulikana
 
Mtakuwa mmetoa pesa. Mlivo wambea Kama kweli mngemdaka mngeshaweka picha zake hadharani. Kiufupi mmepigwa faini kwa mwenye wimbo ndo akaurudisha. Ndio faida ya wizi hiyo
Sio WCB wamemdaka Ni Polisi wa Kenya ndio wamemdaka na hii taarifa imetolewa mzazi mtuva mtangazaji wa Kenya na website nyingi za Kenya
 
Ujumbe umekupata
Kiba apendi show off na Wala Hana attention ndio maana azungumziwi ila nae ana kopi Sana wimbo wake seduce me kakopi baadhi ya mashairi kwenye wimbo despacito,wimbo wake wa maumivu per day kakopi baadhi ya scene kwenye wimbo wa Davido ft Tinashe,Wimbo wake wa lupela copy & paste ya I am more addicted ya Hussein machozi
Ujumbe umekupata
 
Kumbe huwa unamfatilia safi kabisa. Sasa tuje hapa kiba kakopy mashairi kama unavyosema. Ila domo ana paste kila kitu anzia mashairi,nguo,aina ya kucheza,midundo haachi kitu kama watu wa buza na bajeti yao ya kuku utumbo,miguu vyote vinaliwa
Kiba apendi show off na Wala Hana attention ndio maana azungumziwi ila nae ana kopi Sana wimbo wake seduce me kakopi baadhi ya mashairi kwenye wimbo despacito,wimbo wake wa maumivu per day kakopi baadhi ya scene kwenye wimbo wa Davido ft Tinashe,Wimbo wake wa lupela copy & paste ya I am more addicted ya Hussein machozi
 
Inawezekana wimbo ulikopiwa mahali na wenye wimbo walijaribu kuwasiliana na wcb ila mambo hayakuwa sawa.Kwani wataalamu wa Youtube mpaka wimbo unafutwa taratibu gani zinafuatwa ?
 
Back
Top Bottom