Aliyefukuzwa Umeya Geita ashinda uenyekiti wa Mkoa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyefukuzwa Umeya Geita ashinda uenyekiti wa Mkoa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mjuaji, Oct 15, 2012.

 1. m

  mjuaji Senior Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amini usiamini bwana msukuma amewashinda wapinzani wake ndg luhemeja na ikangara.mwaka jana msukuma alikuwa mwkiti wa halmashauri ya geita madiwani wa ccm wakampigia kura ya kutokuwa na imani naye
   
 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hizo ndizo sifa stahiki za kiongozi anayetakiwa kwenye chama chetu.
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Musukuma alifanyiwa mtimanyongo na mkuu wa mkoa na viongozi wengine baada ya kuwabana wawekezaji kwenye madini. Huyu jamaa ni shujaa kweli kweli. Ila kama wanasiasa wote walivyo ana kundi kwenye mbio za urais ndani ya CCM 2015 na hilo kundi ndilo liko nyuma yake.
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Msukuma ni kiongozi mzuri sana.Ni mjengaji mzuri wa hoja ila nilimwambia siku moja platform ya chama chake ndiyo mufilisi.Madiwani Geita wamezoea Kuhongwa.Mgodi wa GGM ukishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara Geita ulimfanyia mtimanyongo kwa kuwa alikuwa upande wa wananchi
   
 5. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  wamempooza atulie alinde heshima ya chama na asizitoe siri za chama nje .
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Habari ya siku nyingi,umeadimika sana kamanda
   
Loading...