Aliyefanikiwa kupata namba yake ya utambulisho NIDA kupitia tovuti atoe ushuhuda

Wanazingua hao wanakwambia taarifa zako haziko sawa ila juzkat kuna mtu aliona jina langu na namba ya NIDA kwenye kituo nilicho jisajili kwakua nilikua mkoani akafanya kunistua...akanitumia nilivyo fungua website yao nilifanya kudownload Online Softcopy ID..

Sasa najiuliza kule Ofisini namba imetoka Kwenye Website walikua wanasema taarifa hazipo ila nilivyo iweka namba nikafanikiwa kupata iyo Online softcopy ID

It seems like kuna Uzembe flan iv

Kuna rafiki yangu kaomba NIN kwa kutumia mfumo wa msg kwenda 15096, akajibiwa hivi 👇
Screenshot_20191226-150716_Messages.jpg

Screenshot_20191226-150743_Messages.jpg


Baada ya majibu hayo nikaingiza taarifa zake kwenye portal, namba yake (NIN) ikatolewa muda huo huo.
 
Back
Top Bottom